Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
na binadam ndipo tunapotofautiana kwa kiwango kikubwa "perception" yani ujinga kwangu waweza kua weledi kwako na weledi wKo waweza kua ujinga ujinga kwangu.... muhimu ni appreciation...Aisee nimeamin binaadamu tupo tofauti sana, na hata ukiuona ujinga wa kiwango cha lami usiulaani hadharan maana kuna watu wanautukuza
Kwani huyo Millard yeye ana nini mpaka asilinganishwe?Usimfananishe Milard Ayo na vitu vya namna hiyo.
Mtake radhi Vanesa mdee.Alikuwa kwenye kipindi cha D'Wikend chart show awali pamoja na Kali naona amewaachia Qwhisar na Soudy Brown '' Gossip Cop '' naye kabuni kipindi chake. Amekulia wapi huyu Mdada? Ni aina za akina Vanessa Mdee
watu wa ntwala tunasema amenyata hatari...Yupo vizuri kiutangazaji ila amechukua sura ya mshua wake.
sijasema kama kipindi chake ni kizuri ama kibaya ila napenda utangazaji wake...hyo mengine ya kipindi atajua yeye na mabosi wake..kweli binadamu tumetofautiana maana kuna siku nilikiona kipindi chake na katika dakika ya kwanza tu, nikaujua umuhimu wa kubadilisha channel ...