Nimetokea kumkubali presenter lady Haha!

Nimetokea kumkubali presenter lady Haha!

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
DSC_2382-600x402.jpg

Japokua ki muonekano hayuko vyema sana sema ana vionjo flani ktk utangazaji wake na vicheko mororo sauti clear ila kizungu kingi..kwa wasio mjua huyu dada ni mtangazaji wa clouds tv ana host kipindi kinatwa "african wired" especially nyimbo 5 za wasanii wa Africa zilizo bamba na nyepesi nyepesi za mastaa weusi world wide...

This lady is like Like millard Ayo yuko tofauti saanaa na watangaji wenzake wa kike....

Safi sana lady Haha!!
 
Aisee nimeamin binaadamu tupo tofauti sana, na hata ukiuona ujinga wa kiwango cha lami usiulaani hadharan maana kuna watu wanautukuza
na binadam ndipo tunapotofautiana kwa kiwango kikubwa "perception" yani ujinga kwangu waweza kua weledi kwako na weledi wKo waweza kua ujinga ujinga kwangu.... muhimu ni appreciation...
 
Alikuwa kwenye kipindi cha D'Wikend chart show awali pamoja na Kali naona amewaachia Qwhisar na Soudy Brown '' Gossip Cop '' naye kabuni kipindi chake. Amekulia wapi huyu Mdada? Ni aina za akina Vanessa Mdee
 
Alikuwa kwenye kipindi cha D'Wikend chart show awali pamoja na Kali naona amewaachia Qwhisar na Soudy Brown '' Gossip Cop '' naye kabuni kipindi chake. Amekulia wapi huyu Mdada? Ni aina za akina Vanessa Mdee
Mtake radhi Vanesa mdee.
 
kweli binadamu tumetofautiana maana kuna siku nilikiona kipindi chake na katika dakika ya kwanza tu, nikaujua umuhimu wa kubadilisha channel ...
sijasema kama kipindi chake ni kizuri ama kibaya ila napenda utangazaji wake...hyo mengine ya kipindi atajua yeye na mabosi wake..
 
Kipindi huoneshwa siku na muda gani?

Ukiona binti wa rika hilo kaikubali rangi ya ngozi yake jua anadalili za kujielewa.
 
Back
Top Bottom