mwarabu wa dubai
JF-Expert Member
- Nov 29, 2015
- 317
- 307
Mzazi wake mmoja ni raia wa Zimbabwe.Alikuwa kwenye kipindi cha D'Wikend chart show awali pamoja na Kali naona amewaachia Qwhisar na Soudy Brown '' Gossip Cop '' naye kabuni kipindi chake. Amekulia wapi huyu Mdada? Ni aina za akina Vanessa Mdee
Hahaha eti amechukua sura ya mshia wake dah!!hizo sura ni nyingi sana katika mkoa wa Mbeya mabinti wengi wamefanana na baba zao tunapata tabu sana tuliokulia ukanda wa pwani and central zone dah itakuta kuna vitoto lainiiiii kama unanawa vile.Yupo vizuri kiutangazaji ila amechukua sura ya mshua wake.
[emoji23][emoji23][emoji23] jamani!Mzazi wake mmoja ni raia wa Zimbabwe.
Hivi huu(uzi) nao ni ubuyu?[emoji1]Mimi hua nampendea kitu kimoja...hana muonekano mzuri lakini anajiamini.
Na ana 'slang' tamu...hayo tu.
Period
Alikuwa kwenye kipindi cha D'Wikend chart show awali pamoja na Kali naona amewaachia Qwhisar na Soudy Brown '' Gossip Cop '' naye kabuni kipindi chake. Amekulia wapi huyu Mdada? Ni aina za akina Vanessa Mdee