Nimetokea kumkubali presenter lady Haha!

Nimetokea kumkubali presenter lady Haha!

Dah huyu presenter mi namkubali sana anavitu fulani kwenye industry ya utangazaji ambavyo ni amaizing sana mi namkubali sana aisee haswa kicheko chake na mikogo ya hapa na pale.
 
Yupo vizuri kiutangazaji ila amechukua sura ya mshua wake.
Hahaha eti amechukua sura ya mshia wake dah!!hizo sura ni nyingi sana katika mkoa wa Mbeya mabinti wengi wamefanana na baba zao tunapata tabu sana tuliokulia ukanda wa pwani and central zone dah itakuta kuna vitoto lainiiiii kama unanawa vile.
 
Alikuwa kwenye kipindi cha D'Wikend chart show awali pamoja na Kali naona amewaachia Qwhisar na Soudy Brown '' Gossip Cop '' naye kabuni kipindi chake. Amekulia wapi huyu Mdada? Ni aina za akina Vanessa Mdee

Huyo jamaa kwanini anaandika Qwhisar si aandike Kwisa tu kama waswahili kabisa duh.
 
Back
Top Bottom