Nimetokea kumpenda Miss Natafuta

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,804
Guys
Serious speaking nimetokea kumpenda sana huyu Miss Natafuta.. Miss Natafuta please I love you so much baby..kila nikitaka kuingia JF naona namfikiria Miss. Nikiona comment yake makinikia inaanza mitetemo nikiona post yake walai sisemi. Mm mkulima tu ningekuwa na uwezo ningekutafuta Miss.
Sijui ni matatizo yangu au nn...kuna siku nimeota nakutana na binti wa makamo kidogo nikamtongoza nikamuuliza unaitwa nani kasema Miss Natafuta nilifurahi sana..akinipa na nanii hii nanii yaaani naamka boxer imeloa upande.
Hali hii inajirudiarudia sana nikaamua leo nifunguke tu

Popote ulipo Miss Natafuta ujue kuwa nakupenda sana sweet baby..
Asanteni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ww ni serengeti boy utampata fasta
Shoga angu miss natafutaaaaa ukuje huku
Ohooo ulishamuona live au unapenda ID fake tu?? kuwa makini
Mkuu sidhani kama itapokelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ata mm nampenda ila sio kwa aina yako ya kukojoa kitandani

Sent using Jamii Forums mobile app
siku hizi sina nyege kabisa jamani nifanyeje? huyu jamaa nitampendaje sasa?
 
Kama lilikua ndio dukuduku lako basi hapo uko mwepesiii ushalitoa na kakusikia
 
haya nimekuja hebu niambie mwenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…