cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Toka utotoni nimelelewa kwe familia ya watoto sita nikiwa wamwisho kwe madada watano
...mda wote nimezoea kupikiwa toka utotoni hadi namaliza chuo mwaka jana na kupata kazi..juzi nimerudi nyumbani na mama kasafiri ikabidi nimsaidie baba kazi zote za jikoni kuanzia kupika hadi kuosha vyombo...nikajifunza kuwa hata mke wa nyumbani anafanya kazi nzito sana na naomba hili linisaidie hata nikiwa kwe ndoa yangu.....nawasiisha