Nimetokea kumuheshimu mamanga sana..hivi karibuni

Nimetokea kumuheshimu mamanga sana..hivi karibuni

cmoney

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
3,570
Reaction score
5,508
Toka utotoni nimelelewa kwe familia ya watoto sita nikiwa wamwisho kwe madada watano
...mda wote nimezoea kupikiwa toka utotoni hadi namaliza chuo mwaka jana na kupata kazi..juzi nimerudi nyumbani na mama kasafiri ikabidi nimsaidie baba kazi zote za jikoni kuanzia kupika hadi kuosha vyombo...nikajifunza kuwa hata mke wa nyumbani anafanya kazi nzito sana na naomba hili linisaidie hata nikiwa kwe ndoa yangu.....nawasiisha
 
Walikuaandaaje kwa maisha yako ya kujitegemea!!! Mpaka unamaliza chuo mtoto wa kike ndo unaanza kufanya kazi za nyumbani tena umeanza kwa kumsaidia baba!!Duh
 
wewe ni ke au me?

Yaani hivi vya hapa kwangu vinapika hadi kwa kukodishwa.
 
kosa walilolifanya wazaz wako kwako usije lirudia kwa wanao wawe wa kike au wa kiume coz maisha ya sasa hayatabiriki, leo unacho kesho huna kama hutamwezesha mtoto kujitegemea hata kwa vijishughuli vidogo humsaidii ila unamharibia future yake. anyway nakubaliana na ww, tupilia mbali mambo ya kupika na nn huko mama ni mama tu, na nafasi yake kwa maisha ya mtoto na familia ni kubwa, big up all mamaz
 
mtu asiejua hata kazi za jikon simpendi mimi,yan we sikuzote ulikuwa wakusogezewa tu km baba mwenye nyumba vle
 
Back
Top Bottom