kosa walilolifanya wazaz wako kwako usije lirudia kwa wanao wawe wa kike au wa kiume coz maisha ya sasa hayatabiriki, leo unacho kesho huna kama hutamwezesha mtoto kujitegemea hata kwa vijishughuli vidogo humsaidii ila unamharibia future yake. anyway nakubaliana na ww, tupilia mbali mambo ya kupika na nn huko mama ni mama tu, na nafasi yake kwa maisha ya mtoto na familia ni kubwa, big up all mamaz