Nimetokea kuwakubali sana Mr Uk, Zompah, Mansuul na Ivanomeseven

Nimetokea kuwakubali sana Mr Uk, Zompah, Mansuul na Ivanomeseven

bwawani90

Senior Member
Joined
Dec 20, 2025
Posts
147
Reaction score
284
Hawa jamaa nimetokea sana kuwaangalia pale YouTube.

Kuna ambao wako very professional na hapa nampa masuul, Ivan kias, zompal anajua ila hana vocal sana.

Hawa jamaa kitaalamu sijui kama ki taalamu inafaa sana u la ila ule ni imbea na ni kama prank tu.

Nimetokea kuwafuatilia sana. Nimeweka router Kwa ajili yao. Na nimefanya hivi kupunguza baadhi ya tabia kama madenu na ulevi.

Nawashauri warasimishe kazi zao
 
Back
Top Bottom