Mwambie aje achukue ghetto.Hata wiki bado,mzigo wenyewe sijala,leo kanipiga mzinga wa 30,000
Cha ajabu amenitumia Lipa namba hapo nikajiuliza nalipia huduma ipi sasa.
Nilitaka kumtumia hiyo hela ila kitendo cha kunitumia lipa number ya saloon kwake kina ukakasi
Haaahaa 😆 ☺️
Kwani alipomtongoza alimwambia anataka nini zaidi ya mzigo?Mwambie na wewe unaomba mzigo