Nimetongoza dada wa saloon juzi,leo amenipiga mzinga na kunitumia lipa namba

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Hata wiki bado,mzigo wenyewe sijala,leo kanipiga mzinga wa 30,000

Cha ajabu amenitumia Lipa namba hapo nikajiuliza nalipia huduma ipi sasa.

Nilitaka kumtumia hiyo hela ila kitendo cha kunitumia lipa number ya saloon kwake kina ukakasi
 
Kaona huombi mzigo, sasa kaamua yeye kukuomba kwa njia ingine isiyo na maneno mengi
 
Hata wiki bado,mzigo wenyewe sijala,leo kanipiga mzinga wa 30,000

Cha ajabu amenitumia Lipa namba hapo nikajiuliza nalipia huduma ipi sasa.

Nilitaka kumtumia hiyo hela ila kitendo cha kunitumia lipa number ya saloon kwake kina ukakasi
Mwambie aje achukue ghetto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…