Bila kujua kuna jamaa tunaishi mtaa mmoja pia rafiki yangu kiaina
Sasa nilisikia kuwa ana mke ila yupo bush
Nimekutana nae akitoka saloni nikamtongoza akanipa namba zake Sasa Leo jamaa akaniita Na kunieleza kwa kunitambulisha Sasa hapa sijui itakuaje Na demu anachati sielewi anawezaje
Kuna watu watatu hatari kwa watu walio na wake zao hapa JF:GuDume,DJ sepetu na Beira Baby Boy!!......naomba uongozi wa JF uondoe hawa watu JF mara moja!!