Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Ndio hadhi yako huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha bhn
Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?
Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?
Mnapata wapi ujasiri huo?
story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya ya Ukerewe. Kwa ufupi nyama inayotokana na ng'ombe wa Ukerewe ni nzuri kwa kuwa ng'ombe wa Ukerewe wanalishwa tu maeneo jirani na nyumbani, hawajachoka na pia nyama ya Ukerewe ina ladha nzuri na ni laini. (sio tangazo za biashara mjue)
Baada ya kununua nyama, wakati nafungua mkoba kutoa hela, hako kavula kakawa kananiangalia sana, na mie nikakazia macho. Kakawa kanaonesha ishara ya kuomba namba za simu (yaani kakawa kanaweka mkono wake kwenye sikio kama vile kanapokea simu). Nilikaelewa nikakausha tu. Nikamlipa mwarabu hela yake.
Nilivyotoka hapo kuelekea kwenye usafiri, ghafla nikaona dogo yuko nyuma yangu. Mazungumzo yakaanza:
Dogo: Mama shikamoo.
Mie: Marahaba.
Dodo: huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya, samahani mama naweza kupata namba yako ya simu.
Mie: Kwa ajili ya matumizi yepi?
Dogo: Ili niwe nakupigia kukupa taarifa za nyama inapoingia toka Ukerewe.
Mie: Mbona ratiba naijua tu, kwani ni lini niliikuja hapo nikakosa nyama?
Dogo: hahahaha, basi tuyaache hayo ya nyama, nataka tu nipate namba zako tuwe tunachat, kwa ufupi nimependa uwe mtu wangu!
Mie: Mxeeeewuu (nikaondoka zangu nikakaacha kamesimama hapo)
Na yeye anataka nyama ya uke...........lewe jaman..kha vizazi vyetu vya sasa mtihani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]isijukue tunamshutumu kijana lakini dada NAKWEDE pengine una Chura wa maana
Kwani akianzisha na tayari kakubali kuna shida? Kama amependa kukaongelea tu katotoUngekakubalia ungeanzisha hii thread?
Yaani kazi kweli kweli....... Lakin cha msingi hapa ni aangalie mambo makubwa mawili i) kama amemsoma dogo licha ya umri wake na kazi anayofanya ii) kama kuna mtu wake yupo nae permanently na anamridhisha vya kutosha ampotezee dogo lkn kama hayupo na au yupo lkn hasukumi mzigo barabara basi dogo anaweza timiza jukumu hilo aki fiti vigezo.Na yeye anataka nyama ya uke...........lewe jaman..kha vizazi vyetu vya sasa mtihani.
Ni bucha la pale Mwenge sio.. yule dogo atakuvua chupi usipokuwa makini ni tabia yake na wadau huwa wanasema anatumia mizizi ukimpa nafasi tu umekwisha.Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?
Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?
Mnapata wapi ujasiri huo?
story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya ya Ukerewe. Kwa ufupi nyama inayotokana na ng'ombe wa Ukerewe ni nzuri kwa kuwa ng'ombe wa Ukerewe wanalishwa tu maeneo jirani na nyumbani, hawajachoka na pia nyama ya Ukerewe ina ladha nzuri na ni laini. (sio tangazo za biashara mjue)
Baada ya kununua nyama, wakati nafungua mkoba kutoa hela, hako kavula kakawa kananiangalia sana, na mie nikakazia macho. Kakawa kanaonesha ishara ya kuomba namba za simu (yaani kakawa kanaweka mkono wake kwenye sikio kama vile kanapokea simu). Nilikaelewa nikakausha tu. Nikamlipa mwarabu hela yake.
Nilivyotoka hapo kuelekea kwenye usafiri, ghafla nikaona dogo yuko nyuma yangu. Mazungumzo yakaanza:
Dogo: Mama shikamoo.
Mie: Marahaba.
Dodo: huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya, samahani mama naweza kupata namba yako ya simu.
Mie: Kwa ajili ya matumizi yepi?
Dogo: Ili niwe nakupigia kukupa taarifa za nyama inapoingia toka Ukerewe.
Mie: Mbona ratiba naijua tu, kwani ni lini niliikuja hapo nikakosa nyama?
Dogo: hahahaha, basi tuyaache hayo ya nyama, nataka tu nipate namba zako tuwe tunachat, kwa ufupi nimependa uwe mtu wangu!
Mie: Mxeeeewuu (nikaondoka zangu nikakaacha kamesimama hapo)
DuhDogo hajaomba msaada thatha,, ni pichu hapo inataka kuvuliwa, na pengine mamasukari angehongwa hadi nyama
Kuna mahali nimesema kuna shida? Swali lilikuwa la kujibu ndio au hapana.... baaas!Kwani akianzisha na tayari kakubali kuna shida? Kama amependa kukaongelea tu katoto
Kwanini siku hizi hunipendi kama zamani?
Kulikoni kushangaa