Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Uzuri wa nyinyi ua mnakuaga wakarimu kwetu kwa siku za mbele.
jamaa wa bucha anakuja kukula kirahisi kabisa sijui ua mnachanganyikiwaga na nini akishaonyasha tu dalili za kukukubali siku ya kwanza wengi wenu mnakuaga kama simba aliejeruhiwa na mmasai wiki/miezi kadhaa mbele mnakua kama kuku wa kizungu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na yeye anataka nyama ya uke...........lewe jaman..kha vizazi vyetu vya sasa mtihani.

mtihani si vizazi bali mtihani ni hao wazee wasiozeeka.

Mazali uzuri unao utatongozwa tu
 
Na yeye anataka nyama ya uke...........lewe jaman..kha vizazi vyetu vya sasa mtihani.
Yaani kazi kweli kweli....... Lakin cha msingi hapa ni aangalie mambo makubwa mawili i) kama amemsoma dogo licha ya umri wake na kazi anayofanya ii) kama kuna mtu wake yupo nae permanently na anamridhisha vya kutosha ampotezee dogo lkn kama hayupo na au yupo lkn hasukumi mzigo barabara basi dogo anaweza timiza jukumu hilo aki fiti vigezo.

Maisha siku zote hayana formula huwa tunaya handle anavyokuja
 
Ni bucha la pale Mwenge sio.. yule dogo atakuvua chupi usipokuwa makini ni tabia yake na wadau huwa wanasema anatumia mizizi ukimpa nafasi tu umekwisha.

Unajua ujasiri unaondoka kwani kuna wengi anawavua chupi na wapo katika umri wako, hizi ni nyakati za mwisho dada. Take care na pia sometime mtume mtu awe anaenda sio lazima kila mara uende wewe.

Cheers!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…