Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Mpe papuchi acha kumbania
 

Inaelekea wewe ndiye uliyemzoeza akuzoee.
Unaomba kuongezewa nyama na pia unataka ukatiwe nyama sehemu nzuri.
Pia kuna wakati unakopa ndiyo maana hayo yanajitokeza.

Ili kumaliza jambo hili, mlipe pesa anazokudai.
 
Ni mtoto mdogo sana, namzaa mara elfu 10.
Sikiliza dada yangu...... huyo si mtoto mdogo ni mtu mzima huyo... na ukiona ana guts za kukutokea kama alivyofanya jua wa umri woko kasha watest na anajua radha yenu. cha msingi ni wewe tu kama hujamsoma basi mpotezee. Lakini kama kanakuvutia na unaona kanaweza kupiga mzigo wakukufikisha basi unaweza kuliunga tu. kwa sasa inaweza kuwa ngumu sababu hujamuweka akilini lkn kadri utakavyoendelea kukafikiria na kukkaona ona pale bucha katakuingia akili taratibu basi kuna siku unaweza fanya uamuzi sahihi.
 
Kunradhi, kwani umeolewa?
 
Daah umeamua kuja kunisema huku[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waache watoto watomboke!! Zama za uwazi hizi kijana kajikaza kafunguka, ila sio riziqi yake kakosa!!

Ndio ujasiri huo nakwede!! Unakuta mtoto mdogo anatongoza mmama huo ama dingi kutongoza kidogo!! Kila mtu anasema na nafsi yake tu kuipa tamanio lake ama kuitimizia hitaji lake!! Akikutongoza we km umemuelewa ruka nae ukiona huelewi mvungie tu!! Usimuone mkosefu wa adabu!!

🤣[emoji28]🤣🤣
 
kwakweli
 
Unaweza ukamuathiri kisaikolojia huyo kijana kwa huo msonyo,hawezi kusahau ungemuambia tu kwa utaratibu kuwa haiwezekani una mtu atafute pengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…