Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?

Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?
Unataka aibe km ametoa dukuduku lake? Basi subilia atakachokufanya kwani ulichofanya naimani si mwisho
 
Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?

Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?

Mnapata wapi ujasiri huo?
Hapo chachaa siku mzee akikorofisha utaanza kumkumbuka dogo ,utasema dah kale kadogo ninge kakantrol.be carefuly.
 
Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?

Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?

Mnapata wapi ujasiri huo?

story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya ya Ukerewe. Kwa ufupi nyama inayotokana na ng'ombe wa Ukerewe ni nzuri kwa kuwa ng'ombe wa Ukerewe wanalishwa tu maeneo jirani na nyumbani, hawajachoka na pia nyama ya Ukerewe ina ladha nzuri na ni laini. (sio tangazo za biashara mjue)

Baada ya kununua nyama, wakati nafungua mkoba kutoa hela, hako kavula kakawa kananiangalia sana, na mie nikakazia macho. Kakawa kanaonesha ishara ya kuomba namba za simu (yaani kakawa kanaweka mkono wake kwenye sikio kama vile kanapokea simu). Nilikaelewa nikakausha tu. Nikamlipa mwarabu hela yake.

Nilivyotoka hapo kuelekea kwenye usafiri, ghafla nikaona dogo yuko nyuma yangu. Mazungumzo yakaanza:

Dogo: Mama shikamoo.

Mie: Marahaba.

Dodo: huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya, samahani mama naweza kupata namba yako ya simu.

Mie: Kwa ajili ya matumizi yepi?

Dogo: Ili niwe nakupigia kukupa taarifa za nyama inapoingia toka Ukerewe.

Mie: Mbona ratiba naijua tu, kwani ni lini niliikuja hapo nikakosa nyama?

Dogo: hahahaha, basi tuyaache hayo ya nyama, nataka tu nipate namba zako tuwe tunachat, kwa ufupi nimependa uwe mtu wangu!

Mie: Mxeeeewuu (nikaondoka zangu nikakaacha kamesimama hapo)
Ila sister, napata Mixed feelings, utakuwa Madam fulani very laddish. Yaani, Kijana itakuwa amewaza sana, kwa muda mrefu, Wenda hata akiwa huko getoni, amekuwa akivuta picha na ku wish angeweza pendwa. Beneath hii kitu, naona struggle kubwa sana za kijana kutamani penzi na yake wakubwa tu/ wanafaidi. Nime soma hii upya, nika Imagine.
 
Hivyo vimiaka vyako 27 ndo unataka madogo wakuogope?

Mbona blazaako Mshana Jr na kaumri kake ka miaka 35 analelewa na majimama ya miaka 50+

Acha uchoyo mpare wahed. Toa namba hiyo kijana apate kiburudisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?

Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?

Mnapata wapi ujasiri huo?

story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya ya Ukerewe. Kwa ufupi nyama inayotokana na ng'ombe wa Ukerewe ni nzuri kwa kuwa ng'ombe wa Ukerewe wanalishwa tu maeneo jirani na nyumbani, hawajachoka na pia nyama ya Ukerewe ina ladha nzuri na ni laini. (sio tangazo za biashara mjue)

Baada ya kununua nyama, wakati nafungua mkoba kutoa hela, hako kavula kakawa kananiangalia sana, na mie nikakazia macho. Kakawa kanaonesha ishara ya kuomba namba za simu (yaani kakawa kanaweka mkono wake kwenye sikio kama vile kanapokea simu). Nilikaelewa nikakausha tu. Nikamlipa mwarabu hela yake.

Nilivyotoka hapo kuelekea kwenye usafiri, ghafla nikaona dogo yuko nyuma yangu. Mazungumzo yakaanza:

Dogo: Mama shikamoo.

Mie: Marahaba.

Dodo: huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya, samahani mama naweza kupata namba yako ya simu.

Mie: Kwa ajili ya matumizi yepi?

Dogo: Ili niwe nakupigia kukupa taarifa za nyama inapoingia toka Ukerewe.

Mie: Mbona ratiba naijua tu, kwani ni lini niliikuja hapo nikakosa nyama?

Dogo: hahahaha, basi tuyaache hayo ya nyama, nataka tu nipate namba zako tuwe tunachat, kwa ufupi nimependa uwe mtu wangu!

Mie: Mxeeeewuu (nikaondoka zangu nikakaacha kamesimama hapo)
Ilikua wapi..hapo Nela?

Kimsingi hizo ni hisia za mtu,kama unaishi Bwiru,Capri Point na kenyewe kanaishi Mabatini au Igogo,kainue tu ukahamishie hata Igoma huko uwe unaenda kukatembelea
 
Back
Top Bottom