Nimetongozwa na mwanamke mzuri sana

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Aliekuwa rafiki yangu wa muda mrefu sasa toka juzi ameanza kunitumia SMS za kuniita mpenzi mara baby nikawa namvungia leo amenifungukia kuwa ananipenda nikamwambia kwanini anadai nimsikilize hisia zake nikamwambia unadhani tutaendana? Ni pisi kali akajibu kwanini, nikamwambia wewe ni mwanamke mzuri sana bila mimi kuwa na hela tutashindwana tu akajibu kanipenda bila pesa.

Wakuu nimjibuje?
 
Mpeleke kwa Mwamposa kisha muulize bulldozer ana mtazamo gani kinabii kuhusu huyo demu, atakupa jibu la swali lako
 
Una miaka mingapi?,jibu kwanza hili halafu nikupe ushauri
 
Mjibu kuwa wewe hupenda sana buza kwa mpalange,he atakupa?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Muambie hutaki mambo ya kikubwa, akiendelea utamsemea kwao🐒
 
Sasa kama anakupenda unakuja kulalamika nini, mpe haki yake uendelee kujilia zako kuku. Ata hakija kukuacha huna cha kupoteza.
 
Mwambie ASIKUZOEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…