kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Aliekuwa rafiki yangu wa muda mrefu sasa toka juzi ameanza kunitumia SMS za kuniita mpenzi mara baby nikawa namvungia leo amenifungukia kuwa ananipenda nikamwambia kwanini anadai nimsikilize hisia zake nikamwambia unadhani tutaendana? Ni pisi kali akajibu kwanini, nikamwambia wewe ni mwanamke mzuri sana bila mimi kuwa na hela tutashindwana tu akajibu kanipenda bila pesa.
Wakuu nimjibuje?
Wakuu nimjibuje?