Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Ushasikia demo, hakuna kutoka hapo 😂Hii haitoki?
Jamaa kashakuwa tajiri aise kama masihara achomoe hela hizoUshasikia demo, hakuna kutoka hapo 😂
Hat huo utajiri wake upo kwenye demo pia 😂Jamaa kashakuwa tajiri aise kama masihara achomoe hela hizo
Jamaa kashakuwa tajiri aise kama masihara achomoe hela hizo
Jamaa kashakuwa tajiri aise kama masihara achomoe hela hizo
Hahaaha hayo mambo yaskie tuuh, ukishaingia hakuna rangi utaacha kuoonaJamaa kashakuwa tajiri aise kama masihara achomoe hela hizo
Akichench hizo dollar jamaa anakuwa billionaireHat huo utajiri wake upo kwenye demo pia 😂
ha ha ha jichanganyeufungue account uweke hela ndio utajua maana ya "demo" hapo unategwa!!Wakuu kama ingekuwa ni account halisi Yani nimeweka pesa.pesa hii ungeitumia Kwa miaka mingapi?
Huoni account ya jamaa imenona sanaHahaaha hayo mambo yaskie tuuh, ukishaingia hakuna rangi utaacha kuoona
hahaha
HahahaHuoni account ya jamaa imenona sana
Lakini ukwel mkuu kufikisha pesa hiyo Kwa demo siyo rahisi .hivyo nimeiva sana 😂ha ha ha jichanganyeufungue account uweke hela ndio utajua maana ya "demo" hapo unategwa!!
Wewe ni level ya kina dangoti Incase akiamua kutoa hio hela na kubadili kuwa tsh😂Hahaha