nimetrade Kwa demo account nimepata kiasi hicho

Ndo raha ya kukulia kijijini, unamuona babu akitaka kukamata kuku anatupa maindi pale halafu Paaap, kuku anadakwa. Ukija mjini jambo kama hili la demo unakumbuka tu banda la kuku la babu.
 
Kuna mtu anaenda kulizwa Sasa hivi πŸ˜€
 
Sasa ingia really ndipo utaelewa. Hapo unakuwa comfy ukijua hata zikiingua sio peda halisi... Ukiweka mounga wako ndipo utaanza kudoubt hata maamuzi yako... Utaanza kuchelewa kuingia au utawahi kutoka yani noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…