Nimetukanwa tusi jipya leo, sijaelewa maana yake

Jamani Bujibuji Kinyambe si jina la yule msanii amabye ni marehemu anazikwa leo. Hebu tuambie wewe umeelewaje kwani??????
 
Ni njia ya upepo au kijambio
 
Ila inaonekana ni kama umelipenda hilo jina
Kinyambe mkubwa weeee!alah
 
Mashoga wengi wako Arusha,na wengine wameolewa ulaya,majambazi wakubwa na matapeli wako Arusha na moshi.
Makatili wakubwa wasiomuogopa mungu wako Arusha nza moshi,na magari yao yameandikwa "kila goti litapigwa,Yeremia --,zaburi---,yesu aliye hai,nk.
Leo unasema ni Dar?kweli we KINYAMBE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…