Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Hilo ni bonge la tuc sema amechapia ila kweli wewe ni kinyambe mkubwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nembe ni samaki, kinembe ni kisamaki kidogo.Siyo Kinyambe ni Kinembe ndiyo tusi
Hahhahahaaaa mimi kuna mtu kaniambia eti blow job ni ngumi kaziJamani Bujibuji Kinyambe si jina la yule msanii amabye ni marehemu anazikwa leo. Hebu tuambie wewe umeelewaje kwani??????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinyambe chako
Ninakusaka Kila Kona leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
GPS kwasasa inasoma mongolandegeNinakusaka Kila Kona leo
Tutake radhi wa pande hizo umetumwa nini?Mashoga wengi wako Arusha,na wengine wameolewa ulaya,majambazi wakubwa na matapeli wako Arusha na moshi.
Makatili wakubwa wasiomuogopa mungu wako Arusha nza moshi,na magari yao yameandikwa "kila goti litapigwa,Yeremia --,zaburi---,yesu aliye hai,nk.
Leo unasema ni Dar?kweli we KINYAMBE.
sijatumwa mkuu,ila muiadibisge,muikemee,muikosoe jamii yenuTutake radhi wa pande hizo umetumwa nini?
Yote uliyoyasema hayana ukweli wowote ni uongo wa waziwazi na uzandiki dhidi ya arusha na moshi hayana mantiki kwa hiyo hatuna sababu ya kuikosoa jamii yetu wewe tatua maishu uliyonayo usiwabambikie watu wengine nyambafu!sijatumwa mkuu,ila muiadibisge,muikemee,muikosoe jamii yenu
ha ha haSiyo Kinyambe ni Kinembe ndiyo tusi
Kwan kinyambe chako kipo sehem mbaya?Nimetukanwa Kinyambe chako weee.
Mimi nilikuwa najua Kinyambe ni jina la mtu, kumbe ni tusi jamani.......
Daslamu matusi mengi jamani....
Wageni mwakaribishwa msijifunze mambo ya mji huu.
Ushoga, wizi, utapeli, ujambazi,umalaya,uwongo, uchafu na kutokumuogopa Mungu
Kipo kabatiniKwan kinyambe chako kipo sehem mbaya?