Nimetukanwa tusi jipya leo, sijaelewa maana yake

Hilo ni bonge la tuc sema amechapia ila kweli wewe ni kinyambe mkubwa wewe
 
Tutake radhi wa pande hizo umetumwa nini?
 
sijatumwa mkuu,ila muiadibisge,muikemee,muikosoe jamii yenu
Yote uliyoyasema hayana ukweli wowote ni uongo wa waziwazi na uzandiki dhidi ya arusha na moshi hayana mantiki kwa hiyo hatuna sababu ya kuikosoa jamii yetu wewe tatua maishu uliyonayo usiwabambikie watu wengine nyambafu!
 
Kwan kinyambe chako kipo sehem mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…