Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Mwaka huu utajinyonga na utakufa kabisaaa kqa kihoro. Huu ndio wakati KARIA, TFF, MAREFA na BODI YA LIGI watatukanwa mwanzo mpaka mwisho kisa tu kuna Mataahira yasiyo na akili timu yao inafungwa na Simba.sio kwa ubaya ila i had to send it, hata mambo tukiacha yatatucost sana. na evidence nitwaambia zipo azam TV tanzania. sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever
Email : Integrity@TheFA.com
mnaweza tuma pia.
MPUUZI NA MPUMBAVU ni yule anayeamini kuwa matokeo haya HAYAJAPANGWA.Hizo takataka zako na hisia zako unadhani fifa ni mjomba wako kusikiliza kila upuuzi
cha msingi imetumwa. match fixing sio kitu cha kushabikiaWe sema mkeka wako umechanika na ulikuwa umeipa Simba mazima au umeweka 2+
Acha kusumbua watu na hayo malalamiko hao FIFA wenyewe ni wala rushwa wakubwa hakuna atakayehangaika na hiyo barua