Kwa hela kama hizo jitahidi uende physically huduma kwa wateja katika tawi au wakala mkubwa aliye karibu nawe ikiwa umejaribu tu kusolve tatizo kupitia kupiga simuNaomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506
Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake .
Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau.
Umetuma TSh 135,000 kwenda kwa mpokeaji wa Vodacom LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 - . Jumla ya Makato TSh 3,650. (Ada TSh 3,650, Tozo TSh 0), VAT TSh 557. Salio jipya ni TSh 15,585. Muamala: 408047296685. 18/04/24 13:14. Tafadhali subiri.LKS
BD73CRQ0OLX Confirmed. Tsh191,000.00 paid to LIPA MARTHA WILLIAN KIMISHA on 7/4/24 at 2:56 PM and charged Tsh2,000.00.New M-Pesa balance is Tsh6,874,371.00.Umetuma TSh 135,000 kwenda kwa mpokeaji wa Vodacom LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 - . Jumla ya Makato TSh 3,650. (Ada TSh 3,650, Tozo TSh 0), VAT TSh 557. Salio jipya ni TSh 15,585. Muamala: 408047296685. 18/04/24 13:14. Tafadhali subiri.LKS
Mtoa Maada laini yake ni ya Tigo na inaonekana alilipa kwenda Voda mkuuBD73CRQ0OLX Confirmed. Tsh191,000.00 paid to LIPA MARTHA WILLIAN KIMISHA on 7/4/24 at 2:56 PM and charged Tsh2,000.00.New M-Pesa balance is Tsh6,874,371.00.
Ujumbe wa Vodacom ukilipa kwa simu unasomeka namna hiyo, wenye kiswahili pia wanaweza kutusaidia.... huu wa mleta malalamiko ni UPOTOSHAJI.
Hivi kwanini watu mnakuwaga wepesi kutoa conclusion pindi mnapoona sintofahamu yoyote kwenye maelezo?Wewe ni MUONGO.
Ujumbe wa Vodacom ukilipia bidhaa hausomeki UMETUMA TSH, bali UMELIPA kwa (JINA LAWAKALA)..... hata hiyo 'LKS' ni Lipa kwa Simu ya TigoPesa.
Mkuu wewe unatumia mtandao gani?Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506
Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau.
Umetuma TSh 135,000 kwenda kwa mpokeaji wa Vodacom LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 - . Jumla ya Makato TSh 3,650. (Ada TSh 3,650, Tozo TSh 0), VAT TSh 557. Salio jipya ni TSh 15,585. Muamala: 408047296685. 18/04/24 13:14. Tafadhali subiri.LKS
Sio mpotoshaji mkuu mm mwenyew natumia Lipa ktk biashara yangu,hapo jamaa katumia kulipa kwa Tigo kwenda Voda,ndo maana unaona ata makato ni makubwa elfu 3 na zaid ww hapo umetumia Voda kwenda Voda 191000 umekatwa 2000, namshauri angeenda mlimani city pale ataonana na customer care wa Tigo na voda ndo anaweza kupata msaada akipiga simu watatupiana mpira ingekua ametumia Voda kwenda Voda wangeublok fasta tu huo muamala ishatokea mteja wangu alikose airtel kwenda Voda laki 6 tulivyowapigia simu wakatupiana mpira alivyoenda mlimani city Voda wakaublok ule muamala bahat mwenye namba alikua hatumii ile line akarudishiwa lak 6 yake baada ya wiki ivi.BD73CRQ0OLX Confirmed. Tsh191,000.00 paid to LIPA MARTHA WILLIAN KIMISHA on 7/4/24 at 2:56 PM and charged Tsh2,000.00.New M-Pesa balance is Tsh6,874,371.00.
Ujumbe wa Vodacom ukilipa kwa simu unasomeka namna hiyo, wenye kiswahili pia wanaweza kutusaidia.... huu wa mleta malalamiko ni UPOTOSHAJI.
Ame kwambia ana kaa Dar ? Wabongo bhanaSio mpotoshaji mkuu mm mwenyew natumia Lipa ktk biashara yangu,hapo jamaa katumia kulipa kwa Tigo kwenda Voda,ndo maana unaona ata makato ni makubwa elfu 3 na zaid ww hapo umetumia Voda kwenda Voda 191000 umekatwa 2000, namshauri angeenda mlimani city pale ataonana na customer care wa Tigo na voda ndo anaweza kupata msaada akipiga simu watatupiana mpira ingekua ametumia Voda kwenda Voda wangeublok fasta tu huo muamala ishatokea mteja wangu alikose airtel kwenda Voda laki 6 tulivyowapigia simu wakatupiana mpira alivyoenda mlimani city Voda wakaublok ule muamala bahat mwenye namba alikua hatumii ile line akarudishiwa lak 6 yake baada ya wiki ivi.
Wasiliana na vodacome pesa yako ipo.Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506
Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau.
Umetuma TSh 135,000 kwenda kwa mpokeaji wa Vodacom LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 - . Jumla ya Makato TSh 3,650. (Ada TSh 3,650, Tozo TSh 0), VAT TSh 557. Salio jipya ni TSh 15,585. Muamala: 408047296685. 18/04/24 13:14. Tafadhali subiri.LKS
Wabongo anaweza hata laini akaitupa kwa sababu ya laki na 40 tuHela yako utaipata tu ila mpaka mwenye lipa namba atoe ushirikiano kwa voda.
Mimi kuna mtu alikosea kulipa kama 140,000 sasa ile simu ya lipa niliizima.
Yule mteja akapiga huduma kwa wateja, wao wakanipigia ili kujiridhisha na hawakunipata.
Siku ya pili wakanipigia kwenye namba yangu nyingine ninayotumia na wakaeleza kuhusu huo muamala kama nautambua.
Nikawapa muda kidogo
kujiridhisha kisha tukamalizana, muamala uakarudishwa kwa mteja.