Nimetumia dakika nane (8) kupika na kuivisha njugumawe!

Mimi huwa nikitaka kupika njugu mawe,kande,maharage n.k huwa nayaloweka kwenye maji usiku mzima asbh nabandika jikoni natumia lisaa tu yameiva
 
Ungeunga na nyanya.😂😂😂😂
 
Umenikumbusha mwaka jana . Zilibandikwa saa nane mpaka kumi na mbili chuma bado iko njema (yaani ndo kama umebandika).

Nadhani hazikuwa njugu zile, zilikuwa ni mawe
 
Hiyo nazi ulikuna au ndo zile za bakhresa?
 
Hongera.Hivi zikipikwa kwa style hiyo hazipotezi ladha?Njugu huwa nazila kwenye makande kuzila kama mboga nimezila mwa huu ugenini sikuzielewa kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…