Nimetumiwa hii leo, hivi ina ukweli wowote..!

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Ukiona mtoto unamtuma dukani halafu harudishi chenji ujue Ukubwani atakuwa mhudumu wa baa, Ni jambo jema mtie moyo.

Ukiona mtoto anapiga wenzake ujue huyo ni Fransis cheka wa badae, ni jambo jema mtie moyo .

Ukiona mtoto unampeleka shule za gharama
lakin kichwan
bado mbulula
ujue ukubwan
atakuwa
mchezaji wa
Taifa stars ni jambo jema
mtie moyo.

Ukiona mtoto anakuwa muongo, mwizi wa mboga, halafu maneno mengi jua ukubwani atakuwa kada wa ccm, usimtie moyo piga sana, charaza viboko.. Na chukua hatua mapema ....... !
 
Mmh naogopa kung'olewa meno

Usiogope Vodka, kilichobaki ni kujizira nchi hii. Mwenzio nimeshang'oa kucha na meno, vyote nimevifungia home.... wakinikamata watang'oa nini...
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha MaCCM nayachukia sana,yaani huyo piga sana hadi anye
 
Hahahahaha MaCCM nayachukia sana,yaani huyo piga sana hadi anye

Tena tungeanza hili zoezi siku nyingi tungekuwa tumeokoa taifa hili kwa kiasi kikubwa sana..
 
Ukiona mtoto anapenda sana michezo ya kikubwa(kombolela) ukubwani atakuwa bwabwa mtie ......
 
Mbulula taifa stars .
teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…