Aisee..CRDD na Airtel money wote ni wa hovyo
Mfumo wa simbank wa CRDB umekufa toka juzi.Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi,
Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell money wanasema hakuna muamala wowote
Siyo juzi tuMfumo wa simbank wa CRDB umekufa toka juzi.