Nimetumiwa sio mbaya nikishea na nyinyi ndugu zangu kama kuna ukweli itakuwa faida kwa wengine

HABARI NJEMA KWA WAGONJWA WA KISUKARI.....
Ni matarajio mtasambaza ujumbe huu naana huenda ukamsaidia MUHITAJI wa habari hii.!!
KUNA MWANAMKE WA MIAKA 65 ALIEKUWA NA KISUKARI TAKRIBAN MIAKA 20 AU ZAID NA KILA SIKU MARA 2 AKIPATA SINDANO ZA INSULIN.. BAADA YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU WA DAWA YA NYUMBAN CHINI YA WIKI AMEPONA KABISA NA ANAKULA KILA KITU MPAKA VITU VITAMU BILA MIIKO..
MADAKTARI WAMEMSHAURI KUWACHA KABISA KUTUMIA INSULIN AU DAWA ZOZOTE NYINGINE ZA UGONJWA WA SUKARI.. NAKUOMBENI MUUSAMBAZE UJUMBE HUU KWA WATU WENGI MUWEZAVYO ILI WAWEZE KUFAIDIKA NAO..
KAMA ILIVYOPOKELEWA NA DR. TONY ALMEIDA (Bombay Kidney Specialist Expert amefanya uchunguzi na majaribio kwa muda mrefu na kugundua tiba hii yenye MAFANIKIO kwa UGONJWA wa KISUKARI. Muda Sasa watu wengi ,waume kwa wake wamekuwa wakiteseka sana na kisukari.. hivyo watumie mchanganyiko huu Kama ifuaravyo:-
1. Ngano gram 100
2. Barley gram 100
3. Habat sowda 100 (gram)
NAMNA YA KUTENGENEZA;-
CHANGANYA vitu hivyo na maji vikombe 5. Chemsha (lchemke) kwa Dakika 10 afu epua na uwache ipoe yenyewe.. lkishapowa chuja na uhifadhi hayo maji dawa NDANI ya jagi au chupa ya glasi. ( Sio plastic)
NAMNA YA MATUMIZI:-
KIKOMBE CHA KAHAWA KILA ASUBUHI KABLA HUJALA KITU KWA SIKU 7.. Wiki itakayofuata utatumia kipimo hicho hicho lakini kwa KUTUMIA SIKU MOJA NA KUACHA SIKU INAYOFUATA.. KATIKA MATUMIZI ya hizi wiki mbili UTASHANGAA na kustaajabu Hali Yako itajavyoimarika na hata kuweza kula CHAKULA KISICHO miiko bila shida.
...
OMBI KWENU NI KUUTUMA NA UWAFIKE WATU WENGI IWEZEKANAVYO ILI WAFAIDIKE NA TIBA HII..
...
Kwa vile mchanganyiko huu wa tiba ni nafaka za kawaida TU hivyo hauna madhara Yeyote kwa mtumiaji...
Nami nawashukuru woote watakaosambaza ujumbe huu ili uwasaidie wale wote wanaoteseka na gonjwa ovu hili...
nimesoma ila kwenye mabano ya kwanza sijaona mwisho wake ndo nikatambua hapa nimefika kwenye ile taasisi ya wavivu,ila wewe si kapepo ni lipepo
 
Mi siamini kwa sababu hiyo dawa ni ya bure! Halafu mbona hakuna namba ya simu?
 
HABARI NJEMA KWA WAGONJWA WA KISUKARI.....
Ni matarajio mtasambaza ujumbe huu naana huenda ukamsaidia MUHITAJI wa habari hii.!!
KUNA MWANAMKE WA MIAKA 65 ALIEKUWA NA KISUKARI TAKRIBAN MIAKA 20 AU ZAID NA KILA SIKU MARA 2 AKIPATA SINDANO ZA INSULIN.. BAADA YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU WA DAWA YA NYUMBAN CHINI YA WIKI AMEPONA KABISA NA ANAKULA KILA KITU MPAKA VITU VITAMU BILA MIIKO..
MADAKTARI WAMEMSHAURI KUWACHA KABISA KUTUMIA INSULIN AU DAWA ZOZOTE NYINGINE ZA UGONJWA WA SUKARI.. NAKUOMBENI MUUSAMBAZE UJUMBE HUU KWA WATU WENGI MUWEZAVYO ILI WAWEZE KUFAIDIKA NAO..
KAMA ILIVYOPOKELEWA NA DR. TONY ALMEIDA (Bombay Kidney Specialist Expert amefanya uchunguzi na majaribio kwa muda mrefu na kugundua tiba hii yenye MAFANIKIO kwa UGONJWA wa KISUKARI. Muda Sasa watu wengi ,waume kwa wake wamekuwa wakiteseka sana na kisukari.. hivyo watumie mchanganyiko huu Kama ifuaravyo:-
1. Ngano gram 100
2. Barley gram 100
3. Habat sowda 100 (gram)
NAMNA YA KUTENGENEZA;-
CHANGANYA vitu hivyo na maji vikombe 5. Chemsha (lchemke) kwa Dakika 10 afu epua na uwache ipoe yenyewe.. lkishapowa chuja na uhifadhi hayo maji dawa NDANI ya jagi au chupa ya glasi. ( Sio plastic)
NAMNA YA MATUMIZI:-
KIKOMBE CHA KAHAWA KILA ASUBUHI KABLA HUJALA KITU KWA SIKU 7.. Wiki itakayofuata utatumia kipimo hicho hicho lakini kwa KUTUMIA SIKU MOJA NA KUACHA SIKU INAYOFUATA.. KATIKA MATUMIZI ya hizi wiki mbili UTASHANGAA na kustaajabu Hali Yako itajavyoimarika na hata kuweza kula CHAKULA KISICHO miiko bila shida.
...
OMBI KWENU NI KUUTUMA NA UWAFIKE WATU WENGI IWEZEKANAVYO ILI WAFAIDIKE NA TIBA HII..
...
Kwa vile mchanganyiko huu wa tiba ni nafaka za kawaida TU hivyo hauna madhara Yeyote kwa mtumiaji...
Nami nawashukuru woote watakaosambaza ujumbe huu ili uwasaidie wale wote wanaoteseka na gonjwa ovu hili...
Hii Story ni ya uongo;

1.Hilo jina la Dr. Tony halipo kabisa ktk ma specialist wa India. Hilo jina linaonekana kwa wacheza filam za kizungu akiwa kama fictional character

2.Mchanganyiko wa vitu alivyotaja havileti kinywaji bali aina fulani ya rojo/ugali ambao HAUPONYI sukari bali unadhibiti kwa muda tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom