Nimetumiwa sio mbaya nikishea na nyinyi ndugu zangu kama kuna ukweli itakuwa faida kwa wengine

nimesoma ila kwenye mabano ya kwanza sijaona mwisho wake ndo nikatambua hapa nimefika kwenye ile taasisi ya wavivu,ila wewe si kapepo ni lipepo
 
Mi siamini kwa sababu hiyo dawa ni ya bure! Halafu mbona hakuna namba ya simu?
 
Hii Story ni ya uongo;

1.Hilo jina la Dr. Tony halipo kabisa ktk ma specialist wa India. Hilo jina linaonekana kwa wacheza filam za kizungu akiwa kama fictional character

2.Mchanganyiko wa vitu alivyotaja havileti kinywaji bali aina fulani ya rojo/ugali ambao HAUPONYI sukari bali unadhibiti kwa muda tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…