zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Gazeti gani mkuuNatafuta msaada wa kisheria niwashughulikie hawa jamaa. Wameweka jina langu kwenye gazeti eti mimi ni mdaiwa sugu wakati nimemaliza deni lao. Huku ni kudhalilishana.
Teh teh....Natafuta msaada wa kisheria niwashughulikie hawa jamaa. Wameweka jina langu kwenye gazeti eti mimi ni mdaiwa sugu wakati nimemaliza deni lao. Huku ni kudhalilishana.
hali mbaya mkuu hahahkama wewe sio mwanchuo sasa kwa nini ujiunge na vifurushi vy wanachuo? acha wizi
Natafuta msaada wa kisheria niwashughulikie hawa jamaa. Wameweka jina langu kwenye gazeti eti mimi ni mdaiwa sugu wakati nimemaliza deni lao. Huku ni kudhalilishana.
Hawa jamaa hawana database nzuri ndio kabisa kwani mie mwenyewe wamenikata weeee mpaka sasa nimebakiza miezi miwili kumaliza deni lao wanasema mie ni mdaiwa sugu, yaani hawana data za watu wanaodaiwa, walioanza kulipa na hata waliomaliza kabisa. Vile vile ukiangalia katika majina waliorodhesha utakuta miaka yao ya kumaliza imechanganywa majina yamekosewa basi ni shiiida tupu.