zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Nimetumiwa sms na bodi ya mikopo kuwa nadaiwa .wamenipa siku 30 nijisalimishe.
Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo.dah
Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo.dah