Nimetunukiwa penzi

Nimetunukiwa penzi

Hongera sana Sipo please usisahau kumwalika PJ awe mgeni rasmi kwenye huo utambulisho.
Yah! The man deserve to be there. Nimeshamtumia invitation card
Hope nawe Msindima utakuwepo kushuhudia
 
ngoja nicheke kwanza then nitakuuliza kama ULIMTONGOZA,AU YEYE ALIKUTONGOZA!hahahahahhhhhahahahahah
Mkuu hii ngumu kuielezea hapa, inahitaji faragha forum isije ikawa naye huwa anapitaga humu kama guest? Lakini hauko mbali na ukweli Mpwa
 
Hata na wewe Katabazi karibu sana Mkuu
 
Du hongera sana mkuu,naona unatekeleza ule ushauri wa wapwa kwamba kama unampenda na kumjali utamtambilisha kwa rafiki zako.Natamani ningekuwepo,nikajionea kwa masikio yangu mwenyewe.To be honest umetupa heshima kubwa sana,KWELI JF INAZIDI KUKUA.Oooh God sijakutwangia SENKS,ngoja nikaitwange.


SERIOUSLY??????😕
Mkuu nashukuru lakini mbona sijaipata hiyo SENKS. Nenda kaiweke Mkuu. Mimi nimekutwangia SENKS
 
hongera kwa kutunukliwa penzi mwishoni mwa mwaka hope utaanza kwa mafanikio tuko pamoja bwana sipo
be blessed
SENKS binamu
Utakuja kwenye get together?
 
Jamani nimetunukiwa penzi, karibuni kwenye get together nitamtambulisha rasmi kipusa wangu kwa wapwa na mabinamu chini ya uangalizi wa Bwana Nguli na Bwana Fidel80.

Mmh hongera!howa was it ?
 
Back
Top Bottom