Nimeu-MISS sana UJANA...!!!


Kweli ujana maji ya moto, leo hii ukiambiwa Mzee Mtambuzi ndio huyu, huwezi kuamini.......


Ndio maana sipendi kuamkiwa shikamoo, hiyo salaam inanikera kama nini...

hahahaha uzee dawa bana tatizo nguvu ya kunililiyu inapingua proportionaly na umri....
 
Hivi kwa nini watu wanaogopa uzee? mzee Mtambuzi andaa bajeti ya kuweka piko kwenye mvi zako.
 
Last edited by a moderator:

SHKAMOO.................. Wangu!!!!
 
Kweli ujana maji ya moto, leo hii ukiambiwa Mzee Mtambuzi ndio huyu, huwezi kuamini.......
Ndio maana sipendi kuamkiwa shikamoo, hiyo salaam inanikera kama nini...

kaka we acha tu kila nikimwomba Mola sala ya mwisho namwomba uzee uchelewe, we unaona kila siku nanyoa kipara unafikiri napenda mkuu, nakua nafukuza mvi mzee mwenzangu na sasa hivi wamenizulia kuwa kipara bila hela ni sawa na Kovu kwahiyo nna mpango wa kupaka Black, scrub na mask ili kulificha uzee.

lakini uzuri mwingine wa dar bwana ukiwa na hela Uzee mwisho chalinze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…