Kumbe hapa wote vijana. Mnazungumzia mchele mchele na bahama redimed na viatu vya losso na kuna surual ziliitwa michael jacksoni zinafanana suruali za leo timbeland mavazi ya mwaka 90-95 .mie mnaniweka wapi nilie vaa mashati ya juliana na suruali za telemka tuzoze? Inaonesha wengi wenu hata ile sh 100 ya noti nyekundu hamkuwahi iona.