Nimeua paka wa jirani usiku, asubuhi mmiliki wake anaumwa hoi

Nimeua paka wa jirani usiku, asubuhi mmiliki wake anaumwa hoi

Duuh! Umenikumbusha mbali sana aisee, huko kwetu miaka ya nyuma kuna jirani aliwahi kuwaona paka usiku wanapiga kelele dirishani akawatusi mno huku akitaja majina ya wale wazee wanaosifika kwa uchawi pale kijijini kilichotokea mchana wake anatumwa mtu kumwambia kwamba aache kutukana watu hovyo usiku. lol

Hivyo usikute aliyekula hizo nakozi ndo huyo aliye hoi sasa.
 
Duuh! Umenikumbusha mbali huko kwetu miaka ya nyuma kuna jirani aliwahi kuwaona paka usiku wanapiga kelele dirishani akawatusi mno kilichotokea mchana wake anatumwa mtu kumwambia kwamba aache kutukana watu hovyo usiku. lol
Itakuwa kwenu TA Shemela.
 
Habari wadau.

Nina wasiwasi hapa Leo usiku nilimpa nakozi paka anakula kuku wangu asubuhi mmiliki wake yu hoi watu wamejaa kwake. Paka nilimzika chooni.
Wiki iliyopita mtaani Kwetu kuna Dogo Kaiiua Saa 5 Asubuhi ila Saa 12 Alfajiri Paka Mmoja Kubwa na Baya ( GENTAMYCINE ) nimemshuhudia aliuwawa na Mbwa Watatu jirani na Nyumba aliyojiua huyo Dogo na mpaka naandika hii post Mbwa Wawili bado wapo ICU Kibandani Kwao wakihitaji Maombi yetu Ili waendelee kuwa Hai.
 
Back
Top Bottom