Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hata na mie nimepata shaka shem.Itakuwa kwenu TA Shemela.
Sema Shem kuna miji inatuzidi eti 😀 huenda hata sio. 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata na mie nimepata shaka shem.Itakuwa kwenu TA Shemela.
Na kweli....ndo maana nahisj wewe ni mTA.Hata na mie nimepata shaka shem.
Sema Shem kuna miji inatuzidi eti 😀 huenda hata sio. 😀
Hahahaaa. Lol.Na kweli....ndo maana nahisj wewe ni mTA.
Mwamba kaisha maliza mwendo wa mtu🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Duh.......
Paka wanakula kuku vizuri tu.Hakuna PAKA anayekulaga kuku...
Ukiona hivyo ujue ni PAKA-MTU.
Umelianzisha la kigetogeto akipona unaye huyo na huo mzoga wala huko kaburini haupo[emoji23]
ataleta feedback ya jirani baadaye,Mwamba kaisha maliza mwendo wa mtu