Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Unamaanisha GENTAMYCINE ni chekechea? OK, ngoja nimpelekee!Peleka swali watoto wa cheechea.
Kiingilishi ndiyo nini? Sema Kiingereza ( kwa Kiingereza ) Sasa kama Kuandika vyema huwezi unaweza 'Mpambano' wa Kimaneno nami?Unachofanya kwa Kiinglishi inaitwa, "Trying to save face!" Ahahahahahahah!!!
Mwenzake jaji mfawidhi kamuita chekechea! Ahahahahahaha!!!Huyu mtoa mada ni mtoto wa juzi
Na bahati nzuri Moto wangu wanaujua.MATAGA wapogo tu, vumilia my dear
Ahahahhhahahahah! Komaa tu dogo! Ahahahaha!!!!Kiingilishi ndiyo nini? Sema Kiingereza ( kwa Kiingereza ) Sasa kama Kuandika vyema huwezi unaweza 'Mpambano' wa Kimaneno nami?
Siyo kweli; hakuna DC wala DAS aliyewahi kuapishwa na rais katika historia ya nchi hii! Mchukie na mlaumu JPM kwa mambo yoyote yale aliyofanya lakini usimzushie ambayo hakufanya
Hujaona hadi picha umewekewa huko juu aliapa kwa Mgwira?Uamuzi mzuri sana, Nawaza Sabaya na Kiburi chake cha "uandakava"feki angeapa kwa mama mghwira kweli, ?
Bora hata JOJO amepelekwa Dar apate mwanaueme aise, maana uzazi kwa wanawake unakoma miaka ikifika 40, sasa ana miaka 35 hana hata mchumba.
GENTAMYCINE ukiona nang'ang' ania Jambo ( Kitu ) basi jua 100% nina uhakika nacho ndiyo maana unaona Watu ( Members ) wengi wananishambulia hapa ila bado 'nakomaa' nao tu kwani nilishashuhudia DC's wakiapishwa ( wakiapa ) mbele ya Mheshimiwa Rais Hayati Dkt. Magufuli na ndiyo maana ninajiamini katika huu Uzi na wanaonishangaa Mimi waanze Kwanza Kumshangaa aliyekuwa 'Number One Public Figure' wao Rais Magufuli.Mkuu ni kweli kuna kipindi mwendazake aliwahi kuwaapisha Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya Mh Godwin Gondwe alitoa neno la shukrani kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya wote walioapishwa siku hiyo.
To a ushahidi usilazimishe mambo kamandaMakonda Kipindi cha Rais JK alipoteuliwa kuwa DC wa Kinondoni aliapishwa na nani? Nikumbusheni upesi.
Je, mna uhakika kuwa katika Uongozi wa Hayati Rais Dk. Magufuli 2015 hadi tarehe 17 Machi, 2021 hawa DC's achaneni na DED na DAS bawakuwahi Kuapishwa nae Ukumbini kwa Upamoja ( Uwingi ) wao?
Cc: Crimea, kirengased, sweettabletMkuu ni kweli kuna kipindi mwendazake aliwahi kuwaapisha Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya Mh Godwin Gondwe alitoa neno la shukrani kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya wote walioapishwa siku hiyo.
Mwambie aweke picha au video!Una maoni gani kuhusu Ushuhuda wa Ukweli wa Post #109 hapo juu uliotolewa na Ngongo Mkuu? Nasubiri kwa hamu mno Mrejesho wako juu ya alichosema ( alichoandika )
We bwege nini? Nimekwambia toa ushahidi watu wakuelewe sio utukane kama mama wauswahilini...Ushahidi upo katika post #109 ya Ngongo isome upesi kisha rudi Kwangu na ujiite Pumbavu sawa?
Kama umeshaambiwa na hadi Kuthibitishiwa na Ngongo kuwa Tendo hilo lilifanyika na DC Gondwe akainuliwa Kuzungumza kwa niaba ya DC's wote pale Ikulu inakushinda nini Wewe muda huu kuingia huko 'YouTube' na ukajiridhisha? Uliniita ( ulituita ) Matahaira sasa kwa huu Upumbavu ( Upopoma ) wako kati yetu na Wewe 'Taahira Mwandamizi' atakuwa ni nani?Mwambie aweke picha au video!
Na pia atwambie kama kweli jiwe alifanya hivyo je alikiuka kifungu gani cha katiba,
Na ili asiwe popoma itapendeza akiweka na vifungu kabisa.
Pumbavu Ushahidi umeshapewa na Ngongo katika post yake #109 na ni Jukumu lako sasa kwenda 'YouTube' ukajiridhisha na siyo kunipotezea / kutupotezea muda Watu wenye Akili Kubwa za Kiyahudi, Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi sawa?We bwege nini? Nimekwambia toa ushahidi watu wakuelewe sio utukane kama mama wauswahilini...
DC Godwin Gondwe alivyoteuliwa na DC's wenzake waliapishwa na nani na wapi? Na DC Gondwe kwanini aliitwa kwenda mbele ya Rais Kuzungumza kwa niaba ya DC's wote mara baada ya Kuapa mbele ya Hayati Rais Dkt. Magufuli?Makonda aapishwa rasmi, aja na mtindo wa STK katika utendaji
Licha ya baadhi ya watu kubeza uteuzi wake, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameapishwa leo jijini Dar es Salaam na kusema kuwa atatekeleza majukumu yake kwa mtindo alioupa jina la STK...www.mwananchi.co.tz
Unakunywaga gongo asubuhiii au ni bange!? Anyways hata iwe ilitokea kwa dharura kwani ndiyo ilikuwa kawaida? Huna point yamsingi ujue pia kwenye hayo makabila unayojilazimishia kuna mataahira kamawewePumbavu Ushahidi umeshapewa na Ngongo katika post yake #109 na ni Jukumu lako sasa kwenda 'YouTube' ukajiridhisha na siyo kunipotezea / kutupotezea muda Watu wenye Akili Kubwa za Kiyahudi, Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi sawa?
Yani wewe unataka tukuamini kwa maneno ya ngongo?Kama umeshaambiwa na hadi Kuthibitishiwa na Ngongo kuwa Tendo hilo lilifanyika na DC Gondwe akainuliwa Kuzungumza kwa niaba ya DC's wote pale Ikulu inakushinda nini Wewe muda huu kuingia huko 'YouTube' na ukajiridhisha? Uliniita ( ulituita ) Matahaira sasa kwa huu Upumbavu ( Upopoma ) wako kati yetu na Wewe 'Taahira Mwandamizi' atakuwa ni nani?