Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

Too muc know ni shida. Jamaa kaleta mada akihisi yuko sahihi. Baada ya kupata maelekezo na mifano hai, BADO anashupaza shingo tu. Muugwana angekubali kukosolewa na maisha yakaendelea.
Anyway JACK OF ALL TRADES, MASTER OF NONE
Angalia ulivyo Muoga unaacha Kunikabili kwa ID zoeleka hapa JamiiForums umeamua uje na hii mpya ili udhani sitokujua. Kweli GENTAMYCINE ni Kiboko....!!!
 
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.

Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.

Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.

Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.

Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Thread ya hovyo jf tangu Mama Samia achukue nchi.
 
Lengai Ole Sabaya aliapishwa na nani?
Nimekusaidia kukuletea hii taarifa nikiamini una akili sio Kama za mtoa post. ole sabaya aliapishwa na mama Anna mghwira
DC wote wanaapishwa na EC, Raisi hajawahi kumuapisha DC, labda kipindi Cha ukoloni huko
Screenshot_20210620-130641_1.jpg
Screenshot_20210620-130716_1.jpg
 
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.

Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.

Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.

Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.

Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
We ni kilaza sana ,haijawahi tokea DC kuapishwa na Rais Tangu uhuru,unatia aibu ujue
 
Nimesikitika sana kuona kuwa NI NGUMU KWA MTU KUKUBALI KUWA AMETELEZA KWA KUTOKUJUA VIZURI KISA ATAONEKANA HAJUI YOTE. Lakini naamini kukubali kushindwa ni vizuri kwa sababu kukataa kushindwa kunadhihirisha UJINGA NA UONGO KATIKA TAARIFA TUZITOAZO
 
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Wewe umetokea wapi? Haya mambo mbona ni miaka yote yako hivyo? UVCCM mnatapatapa sana aisee.
 
Mkuu Gentamycine ma dc huo utaratibu ni wa siku nyingi mbona
Nisaidie Kuniulizia kwa hawa 'Wapumbavu' hapa Juu wanaonishanbulia Kutwa tena hadi Wakikiri Kutonikubali ( Kutonipenda ) kuwa inakuwaje sasa 24/7 hawaachi Kusoma na hata Kuzichangia 'threads' zangu? Kwani JF Members wenye Akili wameisha hapa Jamvini hadi wapoteze muda Wao mwingi Kusumbuka na GENTAMYCINE aliyebarikiwa Vitu vingi na Mwenyezi Mungu kuliko wao Waliolaaniwa na Kulaanika Kiakili?

Cc: mdukuzi, Born City, shinji, Countrywide, Chinga One, digba sowey, Statesman, Nicsta
 
Hata hivyo ni baada ya kila uapisho alitumia muda huo kwa ajili ya kulihutubia taifa
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Hh
 
Nisaidie Kuniulizia kwa hawa 'Wapumbavu' hapa Juu wanaonishanbulia Kutwa tena hadi Wakikiri Kutonikubali ( Kutonipenda ) kuwa inakuwaje sasa 24/7 hawaachi Kusoma na hata Kuzichangia 'threads' zangu? Kwani JF Members wenye Akili wameisha hapa Jamvini hadi wapoteze muda Wao mwingi Kusumbuka na GENTAMYCINE aliyebarikiwa Vitu vingi na Mwenyezi Mungu kuliko wao Waliolaaniwa na Kulaanika Kiakili?

Cc: mdukuzi, Born City, shinji, Countrywide, Chinga One, digba sowey, Statesman, Nicsta
Achana nao
 
Mdogo wangu hapa umechemka
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.

Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.

Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.

Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.

Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
 
Siku zote mkuu wa mkoa ndio anaapishwa na rais na wakuu wa wilaya wanaapishwa na wakuu wa mikoa.

Ni utaratibu wa miaka yote.
 
Back
Top Bottom