Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

Pale kwenye kiapo inakuwa kma interview maana Kuna wengine hawajui kusoma kama yule wa enzi zile za magu
 
Mara nyingi ka
Sio kwa DC na DAS
Uongo na unafiki dhambi sasa jamani mumuogope hata mungu kulazimisha uongo uwe ukweli.hata kama hukumpeda usilazimishe wote wakubaliane na huo uzushi wako.
wa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
 
Makonda Kipindi cha Rais JK alipoteuliwa kuwa DC wa Kinondoni aliapishwa na nani? Nikumbusheni upesi.

Je, mna uhakika kuwa katika Uongozi wa Hayati Rais Dk. Magufuli 2015 hadi tarehe 17 Machi, 2021 hawa DC's achaneni na DED na DAS bawakuwahi Kuapishwa nae Ukumbini kwa Upamoja ( Uwingi ) wao?
Wewe jamaa una matatizo ha kisaikolojia, Magufuli hakuwahi kuwaapisha wakuu wa wilaya, unaambiwa kila Mara hili Ila huelewi
 
Uamuzi mzuri sana, Nawaza Sabaya na Kiburi chake cha "uandakava"feki angeapa kwa mama mghwira kweli, ?
Bora hata JOJO amepelekwa Dar apate mwanaueme aise, maana uzazi kwa wanawake unakoma miaka ikifika 40, sasa ana miaka 35 hana hata mchumba.
Sabaya aliapishwa na huyohuyo Anna Mghwira, hivi ni kuwa hamfatilii au mmeamua kuwa wajinga?
 
Huwa una matatizo! DC anaapishwa na RC maana ni msaidizi wake kikatiba
Kwa hiyo tukubaliane kitendo cha DC kujitutumua "MIMI NDO MWAKILISHI WA RAIS" si sahihi inatakiwa aseme yeye ni mwakilishi wa RC?
 
hii ipo siku zote ulikuwa huijui wewe tu
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.

Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.

Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.

Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.

Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
 
Back
Top Bottom