Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

DC Godwin Gondwe alivyoteuliwa na DC's wenzake waliapishwa na nani na wapi? Na DC Gondwe kwanini aliitwa kwenda mbele ya Rais Kuzungumza kwa niaba ya DC's wote mara baada ya Kuapa mbele ya Hayati Rais Dkt. Magufuli?
mama angefanya hivyo hivyo asipokuwa hawa ni wengi kuliko maelezo, mpaka sasa MAMA = JPM = CCM, equation itabadilika tu siku akileta katiba mpya. hizo tofauti ndogondogo hazina msingi zaidi ya kutupiga chenga WATZ ili apate kick
 
RC's na DED's hawa lazima waapishwe na Raisi DC's na DAS's wanaapishwa na RC's
 
Unakunywaga gongo asubuhiii au ni bange!? Anyways hats iwe ilitokea kwa dharura kwani ndiyo ilokuwa kawaida? Huna puint yamsingi hats kwahayo makabila unayojilazimishia kuna mataahira kamawewe
Sasa mnakiri kwa Rais Magufuli ilitokea tu kwa Dharula kwanini na kwa JF Member GENTAMYCINE msiseme kuwa amesema kwa Dharula?

Leo nina nyie tu hapa Wanafiki wakubwa. Si mlikuwa mkisema kuwa Kitendo hiko hakijawahi Kufanyika? Mbona sasa baada ya Kuhakikisha mmebadilika na kukubali huku mkijitetea kuwa kilikuwa ni cha Dharula tu?
 
RC's na DED's hawa lazima waapishwe na Raisi DC's na DAS's wanaapishwa na RC's
Ilikuwaje akina DC Godwin Gondwe waliapishwa na Rais Hayati Dkt. Magufuli pale Ikulu na Gondwe kuitwa mbele kutoa neno la Shukran kwa Niaba yao?
 
mama angefanya hivyo hivyo asipokuwa hawa ni wengi kuliko maelezo, mpaka sasa MAMA = JPM = CCM, equation itabadilika tu siku akileta katiba mpya. hizo tofauti ndogondogo hazina msingi zaidi ya kutupiga chenga WATZ ili apate kick
Ulikataa nini na sasa unakubali nini na unakubali nini ambacho mwanzoni ulikikataa?
 
Yani wewe unataka tukuamini kwa maneno ya ngongo?

Leteni ushahidi wa jiwe akiapisha ma dc
Pumbavu kama umeweza kuwa na Data ya kukuwezesha kuja hapa JamiiForums unashindwa nini pia kutumia Data hiyo hiyo Wewe Mwenyewe kwa kwenda 'YouTube' na ukaangalia na Kujiridhisha?

Wapumbavu wenzako akina kirengased walikuwa wanabisha kuwa halikufanyika ila ghafla nao wamekubali huku wakijitetea kuwa ilikuwa ni Dharula tu.
 
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Hajawahi kuwaapisha wakuu wa wilaya
 
Mkuu ni kweli kuna kipindi mwendazake aliwahi kuwaapisha Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Jijini Dodoma.

Mkuu wa Wilaya Mh Godwin Gondwe alitoa neno la shukrani kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya wote walioapishwa siku hiyo.
Kwanza turudi nyuma tuelewane kuwa kuwa rais ana mamlaka ya kuwaapisha wateule wake wote, isipokuwa kwa vile wakuu wa wilaya ni wengi ndiyo maana rais hu-delegate power hizo kwa wakuu wa mikoa yao. Ni kama ambavyo rais alivyo na mamlaka ya kupandisha veyo maafisa wote wa jeshi kuanzia ngazi ya Luteni kanali, lakini huacha power za kupandisha maluteni kanali na makanali kwa mkuu wa majeshi, halafu yeye anashughulikia majenerali tu kwa vile maluteni kanali na makanali ni wengi sana. Kwa hiyo ikitokea wakuu wa wilaya wawili au watatu wameteuliwa kwa pamoja, rais anaweza kuwaapisha bila tatizo lolote, ingawaje hutokea mara chache sana. Kaka yangu aliapishwa kuwa mkuu wa Wilaya (wakati huo wakiitwa Area Commissioners) na Mwalimu Nyerere kwa vile waliteuliwa wawili wakiwa wanauhudhuria vikao vya bunge hapo Karimjee Hall, halafu alipoamishwa kwenda wilaya nyingine huko akaapishwa na mkuu wa mkoa.

Thread hii inasema kuwa utaratibu wa kuapisha wakuu wa wilaya na wakuu wao wa mikoa ni utaratibu mpya, jambo ambalo siyo kweli kabisa, ni utaratibu wa siku nyingi sana tangu enzi za Nyerere.

Goodwin Gondwe aliapishwa kwa mara ya kwanza na mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigella

Ole Sabaya aliapishwa na mkuu wa mkoa wa kilimanjaro

Makonda alipshwa kuwa mkuu wa wilaya ya kindononi na mkuu wa mkoa wa dar es Salaam

Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Niemeona mtu kaweka andiko kuwa ole sabaya akiapa kwa mgwila lakini badi alimdhalau hapo unasemaje mr genta?
Kama mtu ana tabia mbaya ya kutoheshimu wakuu wake hata ukimchagua wewe mwenyewe bado atakudhalau tu.
 
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Si kweli,kilichokua kinafanyika ni wakuu wa mikoa walikuwa wanawaapisha wakuu wa wilaya Ikulu na siyo mikoani. Walikuwa wote wanaitwa Ikulu,na Rais alikuwa anashuhudia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niemeona mtu kaweka andiko kuwa ole sabaya akiapa kwa mgwila lakini badi alimdhalau hapo unasemaje mr genta?
Kama mtu ana tabia mbaya ya kutoheshimu wakuu wake hata ukimchagua wewe mwenyewe bado atakudhalau tu.
Tatizo la Sabaya ni malezi, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
 
Ni kweli hujukujua kwamba hao uliowataja wanatakiwa kuapishwa mbele ya wakuu wao wa mikoa??
 
Mbona utaratibu huu upo siku zote- mkuu umetoka lini mwezini?
 
Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Unaunda hadithi wewe. Sema hukuwa makini au ulikuwa bize na safari za Mbowe.
 
Hawajawahi
 
Hajawahi kuwaapisha wakuu wa wilaya
Aliyemuapisha DC Godwin Gondwe Ikulu ya Dar es Salaam hadi akaitwa atoe neno mbele ya Hadhira alikuwa ni nani?

Rejea post #109 ya Member Ngongo ambaye ameielezea vizuri sana tu 'Fools' kama Wewe ( Nyie ) kuweza Kuelewa na kutonipotezea muda hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…