The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
"Ajali" tena! au ulimaanisha "Hajali"Yani unashindwa kusema alikuwa ajali Katiba , unatafuta maneno ya busara kwenye sheria?
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Ajali" tena! au ulimaanisha "Hajali"Yani unashindwa kusema alikuwa ajali Katiba , unatafuta maneno ya busara kwenye sheria?
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
mama angefanya hivyo hivyo asipokuwa hawa ni wengi kuliko maelezo, mpaka sasa MAMA = JPM = CCM, equation itabadilika tu siku akileta katiba mpya. hizo tofauti ndogondogo hazina msingi zaidi ya kutupiga chenga WATZ ili apate kickDC Godwin Gondwe alivyoteuliwa na DC's wenzake waliapishwa na nani na wapi? Na DC Gondwe kwanini aliitwa kwenda mbele ya Rais Kuzungumza kwa niaba ya DC's wote mara baada ya Kuapa mbele ya Hayati Rais Dkt. Magufuli?
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.
Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.
Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.
Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.
Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Sasa mnakiri kwa Rais Magufuli ilitokea tu kwa Dharula kwanini na kwa JF Member GENTAMYCINE msiseme kuwa amesema kwa Dharula?Unakunywaga gongo asubuhiii au ni bange!? Anyways hats iwe ilitokea kwa dharura kwani ndiyo ilokuwa kawaida? Huna puint yamsingi hats kwahayo makabila unayojilazimishia kuna mataahira kamawewe
Ilikuwaje akina DC Godwin Gondwe waliapishwa na Rais Hayati Dkt. Magufuli pale Ikulu na Gondwe kuitwa mbele kutoa neno la Shukran kwa Niaba yao?RC's na DED's hawa lazima waapishwe na Raisi DC's na DAS's wanaapishwa na RC's
Ulikataa nini na sasa unakubali nini na unakubali nini ambacho mwanzoni ulikikataa?mama angefanya hivyo hivyo asipokuwa hawa ni wengi kuliko maelezo, mpaka sasa MAMA = JPM = CCM, equation itabadilika tu siku akileta katiba mpya. hizo tofauti ndogondogo hazina msingi zaidi ya kutupiga chenga WATZ ili apate kick
Pumbavu kama umeweza kuwa na Data ya kukuwezesha kuja hapa JamiiForums unashindwa nini pia kutumia Data hiyo hiyo Wewe Mwenyewe kwa kwenda 'YouTube' na ukaangalia na Kujiridhisha?Yani wewe unataka tukuamini kwa maneno ya ngongo?
Leteni ushahidi wa jiwe akiapisha ma dc
Hajawahi kuwaapisha wakuu wa wilayaMara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Kwanza turudi nyuma tuelewane kuwa kuwa rais ana mamlaka ya kuwaapisha wateule wake wote, isipokuwa kwa vile wakuu wa wilaya ni wengi ndiyo maana rais hu-delegate power hizo kwa wakuu wa mikoa yao. Ni kama ambavyo rais alivyo na mamlaka ya kupandisha veyo maafisa wote wa jeshi kuanzia ngazi ya Luteni kanali, lakini huacha power za kupandisha maluteni kanali na makanali kwa mkuu wa majeshi, halafu yeye anashughulikia majenerali tu kwa vile maluteni kanali na makanali ni wengi sana. Kwa hiyo ikitokea wakuu wa wilaya wawili au watatu wameteuliwa kwa pamoja, rais anaweza kuwaapisha bila tatizo lolote, ingawaje hutokea mara chache sana. Kaka yangu aliapishwa kuwa mkuu wa Wilaya (wakati huo wakiitwa Area Commissioners) na Mwalimu Nyerere kwa vile waliteuliwa wawili wakiwa wanauhudhuria vikao vya bunge hapo Karimjee Hall, halafu alipoamishwa kwenda wilaya nyingine huko akaapishwa na mkuu wa mkoa.Mkuu ni kweli kuna kipindi mwendazake aliwahi kuwaapisha Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya Mh Godwin Gondwe alitoa neno la shukrani kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya wote walioapishwa siku hiyo.
pumbafu wewe yani unataka tu kubishana, ushahidi hauwekiUlikataa nini na sasa unakubali nini na unakubali nini ambacho mwanzoni ulikikataa?
Niemeona mtu kaweka andiko kuwa ole sabaya akiapa kwa mgwila lakini badi alimdhalau hapo unasemaje mr genta?Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Si kweli,kilichokua kinafanyika ni wakuu wa mikoa walikuwa wanawaapisha wakuu wa wilaya Ikulu na siyo mikoani. Walikuwa wote wanaitwa Ikulu,na Rais alikuwa anashuhudia tu.Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Tatizo la Sabaya ni malezi, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Niemeona mtu kaweka andiko kuwa ole sabaya akiapa kwa mgwila lakini badi alimdhalau hapo unasemaje mr genta?
Kama mtu ana tabia mbaya ya kutoheshimu wakuu wake hata ukimchagua wewe mwenyewe bado atakudhalau tu.
Ni kweli hujukujua kwamba hao uliowataja wanatakiwa kuapishwa mbele ya wakuu wao wa mikoa??Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.
Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.
Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.
Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.
Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Kwani unadhani ni sabaya peke yake?Tatizo la Sabaya ni malezi, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Mbona utaratibu huu upo siku zote- mkuu umetoka lini mwezini?Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.
Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.
Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.
Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.
Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Unaunda hadithi wewe. Sema hukuwa makini au ulikuwa bize na safari za Mbowe.Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
HawajawahiMakonda Kipindi cha Rais JK alipoteuliwa kuwa DC wa Kinondoni aliapishwa na nani? Nikumbusheni upesi.
Je, mna uhakika kuwa katika Uongozi wa Hayati Rais Dk. Magufuli 2015 hadi tarehe 17 Machi, 2021 hawa DC's achaneni na DED na DAS bawakuwahi Kuapishwa nae Ukumbini kwa Upamoja ( Uwingi ) wao?
Aliyemuapisha DC Godwin Gondwe Ikulu ya Dar es Salaam hadi akaitwa atoe neno mbele ya Hadhira alikuwa ni nani?Hajawahi kuwaapisha wakuu wa wilaya