Denton_GrootBoom
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 552
- 932
AC gani at 25°C iwe bearable at all time for that long... i use and advice to have it at 23°C. Zingatia standard human body temp na principle of heat Kiduku Lilo
Shule mnazosoma haziwasaidii kuelewa. Zinawasaidia kujua kusoma na kuandika. Ila kuelewa hamfundishwi kabisa. Ungeelewa kilichoandikwa usingekuja na hii post. Nadhani kuna haja ya kuongea na serikali kutengeneza mitaala ambayo itawafanya mnaposoma au kusikiliza muelewe. 🙏AC gani at 25°C iwe bearable at all time for that long... i use and advice to have it at 23°C. Zingatia standard human body temp na principle of heat Kiduku Lilo
Yani hapo mi ndo nimecheka kufaNikawaambia "huku ndo watu wanaishi maisha magumu, wanakula milo mitatu tu kwa siku. Mmoja alishtuka hadi akapoteza fahamu. Alivokua amka akalia Sana"
Sema jamaa anajisahau hajui kua kuna wengine ata Milo miwili sio uhakikaYani hapo mi ndo nimecheka kufa
Mzee baba kama bado upo kanada fanya tuonane nipo hapo nafanya mishemishe zanguNipo Canada baada ya kutoka Sweden na Switzerland. Sasa nlikuwa naongea na mdogo wangu na familia yake. Wao wamekuja nyumba yao ya huku Canada maana wanasema walikaa sana nyumba yao ya Dubai wakaona wapite Sweden kukagua nyumba yao ya huko then waje pumzika hapa hata week mbili.
Mdogo wangu yeye ameoa Mzungu wana watoto wawili. So wakawa wananihoji na Mkewe kuhusu hali ya hewa ya Dar. Kipi ni kipindi cha Baridi na Kipindi cha Joto.
Ninejikuta sijui niwajibu nini. Mimi toka nimeanza kuja Dar sijui ni kipindi gani cha Joto.maana kwenye gari ni FULLTIME AC, HOME FULL TIME AC,OFISINI FULL TIME AC. pale home Kibarazani ni Full time AC.
Na hizi ni zile za kisasa ambazo ukisema kuwa ziwe zinaji regulate lets say 25C basi hiyo ndo inabaki hivyo miaka yote joto likishuka yenyewe inapandisha hadi hapo. Likipanda inashusha mpaka hapo. Au unaweza set iendane na joto standard la mwili. Ni auto.
Hivyo najikuta sielewi ni kipindi gani Dar kuna joto au baridi. Najua tu mvua maana huwa naona inanyesha. But joto na baridi? Hapana.
Labda mnisaidie huwa kipindi gani mnasikia sana joto au kipindi gani mnasikia sana baridi. Kwa miezi. Like kwa huu mwezi (nadhani hata huko Tz huu utakuwa mwezi wa pili kama huku mi sijui sana mambo ya Tanzania) je hiki kipindi ni joto au baridi? Wanataka kujua waje watembee kidogo kama hali itaruhusu angalau watoto nao waione Tanzania ilivyo.
Nliwaonesha nyumba za Kijitonyama,Masaki,Mikocheni na Msasani wakashangaa kuwa kuna nchi ni maskini sana. Nikawaambia huku ndo watu wanaishi maisha magumu. Wanakula milo mitatu tu kwa siku. Mmoja alishtuka mpaka akapoteza fahamu. Amekuja amka analia sana kuwa Africa ijitahidi kuondokana na maisha ya namna hii.
Mbona jibu ni rahisi, kuwa unaishi kwenye gari, na Tz imeendelea sana kiasi kwamba, gari unaingia nayo hadi chooni, hivyo hali ya hewa ya nje hujui.Nipo Canada baada ya kutoka Sweden na Switzerland. Sasa nlikuwa naongea na mdogo wangu na familia yake. Wao wamekuja nyumba yao ya huku Canada maana wanasema walikaa sana nyumba yao ya Dubai wakaona wapite Sweden kukagua nyumba yao ya huko then waje pumzika hapa hata week mbili.