Nimeulizwa hili Swali nikashindwa kujibu. Wamenishangaa sana

AC gani at 25°C iwe bearable at all time for that long... i use and advice to have it at 23°C. Zingatia standard human body temp na principle of heat Kiduku Lilo
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Utakuwa uko kwenye mashine ya kukusaidia kupumua ndio maana huelewi nyakati
 
AC gani at 25°C iwe bearable at all time for that long... i use and advice to have it at 23°C. Zingatia standard human body temp na principle of heat Kiduku Lilo
Shule mnazosoma haziwasaidii kuelewa. Zinawasaidia kujua kusoma na kuandika. Ila kuelewa hamfundishwi kabisa. Ungeelewa kilichoandikwa usingekuja na hii post. Nadhani kuna haja ya kuongea na serikali kutengeneza mitaala ambayo itawafanya mnaposoma au kusikiliza muelewe. 🙏
 
Dar hakuna mwez ambapo kuna barid, miez yote n joto sana
Ila mwezi wa 7 had wa 10 huwa tunaungua maana sio joto la kawaida

Waambie wasije tu hao ndugu zako wazungu
 
Siku zangu za kuishi zimeongezeka leo. Unarudi lini Boss?
 
Mzee baba kama bado upo kanada fanya tuonane nipo hapo nafanya mishemishe zangu
 
Hongera Mkuu kwa kuwa juu kimaisha sisi akina pangu pakavu tunapigwa jua mchana kutwa.
 
Sitakutaka kupoteza mda nimerudia fasta kusoma id,nikacheka tu
 
Mbona jibu ni rahisi, kuwa unaishi kwenye gari, na Tz imeendelea sana kiasi kwamba, gari unaingia nayo hadi chooni, hivyo hali ya hewa ya nje hujui.
 
We jamaa ni great thinker wajinga hawawezi kuelewa.... Let's keep moving
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…