Nimeulizwa swali kwanini wakenya wako vizuri kwemye riadha sina jibu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama nimejibu kitaaalam..nimemuomba anipe muda nikafanye tafiti.
 
HAkuna asili.

Wamewekeza na wanafanya mazoezi.

Tafuta documentary za MARATHON TRAINING ELDORET, Kenya.
 
Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama nimejibu kitaaalam..nimemuomba anipe muda nikafanye tafiti.
Hapa bongo tunamwanariadha mzuri wa kike. Anaitwa BICHWA KOMWE -
 
Kuna sababu za Kiserikali na Sababu za Ki Sayansi.

Serikali yao inasapoti sana hiyo michezo (wameona ni sehemu ambayo inawatangazia nchi yao sana)
Ukitoka nje ya Africa Nchi Africa Mashariki inayojulikana ni Kenya kwasabu hiyo
Serikali kuwapa motisha sana wakiambiaji na kuwatengenezea mqlazingira rafikia(viwanjwa vya michezo vifaa na wataalamu(walimuu))

Huku kwetu Simbi kapata Medali kubwa sana tena amejitoa vibaya mno hadi anashida ila hela alopewa ni ndogo sana ukifananisha alichokifanya

Sababu ya Kisayansi
Maswala ya kukimbia yanaambatana na Pia Genetics . Hivyo wanayo damu ya riadha. ki ufupi nchi ambazo ziko kwenye bonde la ufa la kati wana hii hali( kuanzia Ethiopia Kenya hata tanzania ila kwa Manyara zaidi na masai wachache
 
Back
Top Bottom