ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
HAkuna asili.Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama nimejibu kitaaalam..nimemuomba anipe muda nikafanye tafiti.
Hapa bongo tunamwanariadha mzuri wa kike. Anaitwa BICHWA KOMWE -Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama nimejibu kitaaalam..nimemuomba anipe muda nikafanye tafiti.