Nimeumbwa niwe single?

Nimeumbwa niwe single?

TO WHOM IT MAY CONCERN
Choose your position and tell me your rank:

18-22yrs - Bachelor II

23-26yrs - Bachelor I

27-29 yrs - senior Bachelor

30-33 yrs - Principal Bachelor

34-37 yrs - Deputy Chief Bachelor

38-40 yrs - chief Bachelor Grade II

41-48 yrs - Bachelor General

49 yrs - ... life Bachelor/Field Marshall

Stop laughing just go and get married, it's time now before you become a Field Marshall.

Hapo ukiona umefikia cheo cha Deputy Chief Bachelor anza kujiuliza ila kwa sasa tafuta hela weka mambo vizuri.

hahahahahahahaha
 
fanya mambo mengine ya kimaendeleo kwanza miaka 23 ndio unapanic hivyo, wana umri gani hao unaowafuata kwenye pitapita zako
 
Wee mvulana hiyo ndude haikuwekwa kwa ajili ya kufanyia matusi tu bali kwa matumizi ya kukojolea...itumie kwa lengo lililokusudiwa na manufacture!
 
Nishory ndefu in short

Wakuu heshima kwenu,

Nina umri wa miaka 23 kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilimpenda sana nilidumu nae kwa mda wa mwaka 1 tuliachana kwa maneno ya watu.

Baada ya miezi nikampata mwengine ambaye nilimpata mkoani Tanga nilikwenda likizo kusalimia wakati narudi Dar (nyumbani) yeye alikuwa Tanga akisoma ila kwao ni Dar kikapita kipindi kirefu bila wasiliana kutokana sikua nasimu wala yeye ila nilikuwa nikimtaja sana na kumwaza pia baada ya mwaka mmoja maisha kusonga nikajikuta nikidondokea kwa binti mmoja ambaye nilisomanae shule ya msingi sikudumu nae ni miezi miwili tukaachana.

Kikweli nimeshakua na wasichana zaidi ya 5 huwa wananiacha hata bila kugombana,Umri unaenda nahitaji kuwa na familia yangu ila sijapatmwanamke aliyesiriazi na maisha anayeeleweka sababu huwa wanabadilisha uamuzi wao mwishoni?Naninafanyakazi ni mtu wakipato cha kawaida.

Mbaya zaidi.

Mwakajana katika pitapita zangu nikakutana na yule binti niliyekutana nae Tanga nilimuacha akisoma kwasasa ni mwalimu wa kindagaten nikajaribu kumweka sawa akadaia ana mtu wake kwasasa ila baado yupo moyoni mwangu nampenda akakataa kwasasa tunawasiliana kama kaka na dada
au nitakuwa nimeumbwa niwe single tu nini?

If there is a problem, try adjusting human life[emoji12]

Ushauri matusi no
MIAKA ISHIRINI NA TATU UNAHITAJI FAMILIA? AMA UNATENGENEZA MAMBO KUELEKEA KWENYE FAMILIA


WE KABILA GANI NA DINI GANI
 
umri wa 23 yrs unaanza kulalamika kuhusu ndoa tafuta maisha ndoa itakuja
 
Back
Top Bottom