Wa kagoli kamoja ka wizi kona ya chooniHao wapenzi sita utakuta kahesabu wale aliocheza zao kibaba baba, kimama mama na kombolela
Na kwenye pagala ha ha ha we call it za nguo nguo huku ssshhh sshh kama anakula muwaWa kagoli kamoja ka wizi kona ya chooni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kwenye pagala ha ha ha we call it za nguo nguo huku ssshhh sshh kama anakula muwa
Swissme mtoto cheupe kikofia umemtupa wapi mkuu?,nilikua naikubali avatar yako.domo zege.
swissme
Hahahaha,uwiii! huu mji ukiamua kuishi hauitaji uwe na hasira,Lemutuz bado anajipanga kimaisha mkuu.23 unalalamika lemutuz wasemeje?
wenyewe wanaita "pigo la hofu",yani hamjiamini mnahisi mtafumwa.mweh hatari.Wa kagoli kamoja ka wizi kona ya chooni
TO WHOM IT MAY CONCERN
Choose your position and tell me your rank:
18-22yrs - Bachelor II
23-26yrs - Bachelor I
27-29 yrs - senior Bachelor
30-33 yrs - Principal Bachelor
34-37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38-40 yrs - chief Bachelor Grade II
41-48 yrs - Bachelor General
49 yrs - ... life Bachelor/Field Marshall
Stop laughing just go and get married, it's time now before you become a Field Marshall.
Hapo ukiona umefikia cheo cha Deputy Chief Bachelor anza kujiuliza ila kwa sasa tafuta hela weka mambo vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji23] [emoji23]23 unalalamika lemutuz wasemeje?
Kaaah! 23 yrz umri umekwenda? kivip na cc ambao tuna 28-49-60 tusemeje?Kikweli nimeshakua na wasichana zaidi ya 5 huwa wananiacha hata bila kugombana,Umri unaenda
MIAKA ISHIRINI NA TATU UNAHITAJI FAMILIA? AMA UNATENGENEZA MAMBO KUELEKEA KWENYE FAMILIANishory ndefu in short
Wakuu heshima kwenu,
Nina umri wa miaka 23 kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae nilimpenda sana nilidumu nae kwa mda wa mwaka 1 tuliachana kwa maneno ya watu.
Baada ya miezi nikampata mwengine ambaye nilimpata mkoani Tanga nilikwenda likizo kusalimia wakati narudi Dar (nyumbani) yeye alikuwa Tanga akisoma ila kwao ni Dar kikapita kipindi kirefu bila wasiliana kutokana sikua nasimu wala yeye ila nilikuwa nikimtaja sana na kumwaza pia baada ya mwaka mmoja maisha kusonga nikajikuta nikidondokea kwa binti mmoja ambaye nilisomanae shule ya msingi sikudumu nae ni miezi miwili tukaachana.
Kikweli nimeshakua na wasichana zaidi ya 5 huwa wananiacha hata bila kugombana,Umri unaenda nahitaji kuwa na familia yangu ila sijapatmwanamke aliyesiriazi na maisha anayeeleweka sababu huwa wanabadilisha uamuzi wao mwishoni?Naninafanyakazi ni mtu wakipato cha kawaida.
Mbaya zaidi.
Mwakajana katika pitapita zangu nikakutana na yule binti niliyekutana nae Tanga nilimuacha akisoma kwasasa ni mwalimu wa kindagaten nikajaribu kumweka sawa akadaia ana mtu wake kwasasa ila baado yupo moyoni mwangu nampenda akakataa kwasasa tunawasiliana kama kaka na dada
au nitakuwa nimeumbwa niwe single tu nini?
If there is a problem, try adjusting human life[emoji12]
Ushauri matusi no
Khaaa salt 30 ndo atafute mchumbaaMtoto wa kiume 23 unawaza ndoa? Acha utani kula ugali wa shkamoo huku ukitengeneza maisha yako ukifika 30 ndo utafute mchumba
its summer Sir.Swissme mtoto cheupe kikofia umemtupa wapi mkuu?,nilikua naikubali avatar yako.
Ndio kwa mwanaume hakuna shidaKhaaa salt 30 ndo atafute mchumbaa
haaah!sawa mkuu.its s
its summer Sir.
swissme