Nimeumia sana leo

Yaani we kiazi kweli wenzio tukiona mazingiria sio mazuri au unahofu ya kukataliwa au hauko katika mood tunaombaga number hakuna kitu chepesi km kuomba number.

Samahani mrembo nimekuelewa japo tuwe marafiki Naomba usinifikirie vibaya tunaweza kubadilishana number akikataa mpe hata yako hapo uwezi kujilaumu maana nafsi inasema lkn nimejaribu.
 
Kutenda sasa
 
Sio uzembe mkuu mazingira niliyokutana nae ni magumu sana , watu wengi Pembeni na alikuwa akiangaliwa na wengi nikakosa pozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…