Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake.

Ushindi huo umeniumiza,kunisikitisha ,kunihuzunisha na kunisononesha sana. Ni ushindi ambao unaiweka CHADEMA katika hatari ya kusambaratika,ni ushindi ambao utapelekea kupoteza wanachama wengi kutokana na misuguano ya ndani kwa ndani. Ni ushindi ambao haukustahili kuelekea Mikononi Mwa watu kariba ya lissu na Heche.

Hao watu wana midomo michafu sana,ni wabaguzi sana na wenye mioyo iliyo jaa sumu ya chuki kubwa sana vifuani pao. Mimi binafsi namchukia sana Lissu siyo kwa sababu yupo CHADEMA nami nipo CCM. namchukia Lissu kwa sababu ya mdomo wake Mchafu na wa Uropokaji.

Mdomo wa Lissu mara nyingi umetumika kuchochea sana na kupandikiza chuki ,uhasama na ubaguzi hapa Nchini.Ameutumia Mdomo wake bila Breki kumtukana na kumbagua Rais wetu. Kiasili mimi sipendi mtu mbaguzi na mwenye chuki kama aliyonayo lissu kifuani pake.

Sijawahi kufurahishwa wala kupenda namna lissu alivyokuwa akimdhalilisha Rais wetu majukwaani kwa sababu ya Uzanzibari wake na uwanamke wake. Kwa sababu mimi naamini uongozi au kiongozi bora na mzuri siyo suala la jinsia bali ni uwezo wa mtu binafsi na kipawa na Karama aliyo jaaliwa na Mungu kiuongozi.

Lakini sote ni mashahidi wa namna lissu ambavyo alikuwa akimbagua Rais wetu kwa kusema huyu ni Mzanzibari na hana uchungu na Taifa hili na kauli nyingine mbalimbali za kutweza utu wa Rais wetu. Sasa mtu wa aina hii na mwenye mawazo ya kibaguzi hataishia kumbagua Rais wetu tu ambaye anajua fika ni Mtanzania na mwenye haki zote za kitanzania.

Mdomo wa Lissu unanifanya nimchukie kwa sababu najua atafanya kazi ya kueneza chuki ,ubaguzi,fitina ,marumbano yasiyo na tija pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu. Kwa sababu yeye ni mtu ambaye akili yake anaijua Mwenyewe na inavyomuongoza.

Lakini mimi niseme tu kuwa ni aidha akubali njia ya maridhiano ambayo Mheshimiwa Mbowe alikuwa ameiongoza. Kwa sababu siasa za jino kwa jino hataziweza na itakuwa ni ngumu sana kuziendesha hapa Nchini. Ni siasa ambazo zimeumiza wengi,kuwaacha wengi na vilema,kuwafanya wengi kupoteza maisha,masomo,ajira ,kupoteza marafiki na hata wengine kupoteza kabisa muelekeo mpaka leo hii hususani kundi la vijana.

Hivyo asifikirie kuwa siasa za muundo huo na zenye misimamo mikali zitafanikiwa hapa Nchini. Hakuna anayeweza kuandamana mbele ya polisi ambao wamepiga marufuku jambo fulani kufanyika. na wala hakuna atakayekuwa tayari kuhatarisha usalama wake na Maisha yake barabarani. katika hilo namuhakikishia kuwa hatafanikiwa hata kidogo.

Isitoshe watanzania wa sasa wanatambua ya kuwa wapinzani wa Tanzania wanaongozwa na matumbo yao tu yaani uchumia tumbo tu. Kwa sasa upinzani hauaminiki hata kidogo kwa wananchi maana wanajua ni vigeugeu tu. kwa hiyo Lissu akitaka aendeshe siasa za kibabe basi ataishia kuumia tu. kwa sababu vyombo vyetu vya ulinzi hususani jeshi la polisi halitakuwa tayari kuona chama au mtu fulani anataka kuleta na kuchochea uasi hapa Nchini.

CHADEMA wamepoteza chaguo sahihi na kuchagua mtu asiye stahili kuiongoza CHADEMA. Najua mnafuraha ya muda mfupi kwa baadhi yenu. Ila mtalia sana na kumkumbuka mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini. Muda ni Mwalimu mzuri sana.Ngoja tuupe muda nafasi ili uwapeni majibu . Siku yaja ambapo mtalia na kububujikwa na machozi ya huzuni na kumkumbuka sana Mheshimiwa Mbowe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
images.jpeg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake.

Ushindi huo umeniumiza,kunisikitisha ,kunihuzunisha na kunisononesha sana. Ni ushindi ambao unaiweka CHADEMA katika hatari ya kusambaratika,ni ushindi ambao utapelekea kupoteza wanachama wengi kutokana na misuguano ya ndani kwa ndani. Ni ushindi ambao haukustahili kuelekea Mikononi Mwa watu kariba ya lissu na Heche.

Hao watu wana midomo michafu sana,ni wabaguzi sana na wenye mioyo iliyo jaa sumu ya chuki kubwa sana vifuani pao. Mimi binafsi namchukia sana Lissu siyo kwa sababu yupo CHADEMA nami nipo CCM. namchukia Lissu kwa sababu ya mdomo wake Mchafu na wa Uropokaji.

Mdomo wa Lissu mara nyingi umetumika kuchochea sana na kupandikiza chuki ,uhasama na ubaguzi hapa Nchini.Ameutumia Mdomo wake bila Breki kumtukana na kumbagua Rais wetu. Kiasili mimi sipendi mtu mbaguzi na mwenye chuki kama aliyonayo lissu kifuani pake.

Sijawahi kufurahishwa wala kupenda namna lissu alivyokuwa akimdhalilisha Rais wetu majukwaani kwa sababu ya Uzanzibari wake na uwanamke wake. Kwa sababu mimi naamini uongozi au kiongozi bora na mzuri siyo suala la jinsia bali ni uwezo wa mtu binafsi na kipawa na Karama aliyo jaaliwa na Mungu kiuongozi.

Lakini sote ni mashahidi wa namna lissu ambavyo alikuwa akimbagua Rais wetu kwa kusema huyu ni Mzanzibari na hana uchungu Taifa hili na kauli nyingine mbalimbali za kutweza utu wa Rais wetu. Sasa mtu wa aina hii na mwenye mawazo ya kibaguzi hataishia kumbagua Rais wetu tu ambaye anajua fika ni Mtanzania na mwenye haki zote za kitanzania.

Mdomo wa Lissu unanifanya nimchukue kwa sababu najua atafanya kazi ya kueneza chuki ,ubaguzi,fitina ,marumbano yasiyo na tija pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu. Kwa sababu yeye ni mtu ambaye akili yake anaijua Mwenyewe na inavyomuongoza.

Chama Cha fomu moja mjiandae😂😂😂
 
Hata wewe ni MROPOKAJI unayetukera Sana na threads zako za kila wakati , Period!
 
Kwa kuwa ccm mmezidi janja janja, ufisadi na ubabaivu dawa yenu ni msema kweli TAL.
Hapepesi macho na wala hatumii busara wala uvumilivu wa kufunika kombe mwanaharamu apite!
Mtapigwa hivyo hivyo mtakavyokuja... Ulalo ulalo au vinginevyo!
 
Mkuu unaweza ukaweka summary? Samahani lakini...
 
Back
Top Bottom